Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Ahsante saana kwa ushauri wako mkuu..
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
 
Mimi nina mtizamo tofauti wengine.

Nikweli wee jamaa ,umeshindwa kupigania penzi lako???? Nikweli kabisa kama ndio mwanamke unayempenda, umeshindwa kukaa naye, kumpa shule ya maisha na mapenzi??? . Ikiwa unaprovide kwake huduma, Umekaa ukatafakar nn kinamisika kwako,??

Yaan kirahisi rahisi umuache mwanamke wako?? Kwann ukubali kua mshindwa?? Na unaona lugha yake inaeleweka kabisa???.

Daahhhh kweli siku izi mapenzi hayana Radha kabisaaa .
 
Huyo atakuwa kapima kakuta ameukwaa tayari sasa anakuhurumia
 
Wala usijibu,potezea,anajifanya kwamba anakuonea huruma,MTU muungwana,akitaka kukuacha anakuambia live,huyo bi Dada bado hajakomaa,wala usijibu,endelea na maisha,kama cash money IPO kula bata,,waza pesa tu,utapata mwingine bomba,,ilishanitokea hiyo,ila wangu alinipigia cm,akasema Mimi na yeye basi,nikasema poa,wiki haikupita alinitafuta mwenyewe,
Shukrani saana mkuu.. pia Pole na wewe kwa yaliyo kukuta
 
Mimi nina mtizamo tofauti wengine.

Nikweli wee jamaa ,umeshindwa kupigania penzi lako???? Nikweli kabisa kama ndio mwanamke unayempenda, umeshindwa kukaa naye, kumpa shule ya maisha na mapenzi??? . Ikiwa unaprovide kwake huduma, Umekaa ukatafakar nn kinamisika kwako,??

Yaan kirahisi rahisi umuache mwanamke wako?? Kwann ukubali kua mshindwa?? Na unaona lugha yake inaeleweka kabisa???.

Daahhhh kweli siku izi mapenzi hayana Radha kabisaaa .
Jamaa yuko sahihi kwani one side love ni mbaya sana kuliko kuachana
 
Nashkuru kwa ushauri mkuu, hyo pesa nilimpa aisave. Sio chini ya Mil 1 na point.
Ila cha kumjibu ili ajue umekubaliana nae mjibu either thank you, or OK... Half achana nae, usimblock popote, ila namba yake futa. Wanawake wapo wengi sana na amini yupo bora zaidi yake ila kikubwa refresh your mind na usianzshe mahusiano mengine. Ht akijirudi usimsamehe, huwa naogopa sana wanawake wanaokuacha hujawafanya kitu, huenda ana MTU nje ndo maana anakukosea Mara kwa Mara. Na kingine usimwamini mwanamke hvyo mpk kumpa akutunzie pesa. Mwamini u're mom only. AKILI ZA WANAWAKE WANAZIJUA WENYEWE, nshatendwa na wanawake hivyo, ila kwa badae walinitafuta, na MTU mwngne nnae huwa naishia kuwachezea tu
 
Jamaa yuko sahihi kwani one side love ni mbaya sana kuliko kuachana
Nikweli , lkn bila shaka mwanzo walikua naraha......sasa nn kimebadilika?? Kama mwanaume nilazima uchukue jukumu la kutafuta shida ipo wapi.

There must be something wrong!! Tatizo siku izi mnawaacha waishi wanavyotaka.

Mind you mwanamke nikiumbe anayetakiwa kukumbushwa na kufundishwa kila leo ,!!!
 
Mimi nina mtizamo tofauti wengine.

Nikweli wee jamaa ,umeshindwa kupigania penzi lako???? Nikweli kabisa kama ndio mwanamke unayempenda, umeshindwa kukaa naye, kumpa shule ya maisha na mapenzi??? . Ikiwa unaprovide kwake huduma, Umekaa ukatafakar nn kinamisika kwako,??

Yaan kirahisi rahisi umuache mwanamke wako?? Kwann ukubali kua mshindwa?? Na unaona lugha yake inaeleweka kabisa???.

Daahhhh kweli siku izi mapenzi hayana Radha kabisaaa .
Mkuu Muda na Nyakati siku hizi vinakwenda resi Sana kiasi ambacho watu hawana muda wa kupoteza kufanya vitu vya kijinga Kama ambacho una mshauri,kama huyo demu hujui thamani yake kwa mchizi jinsi anavyomchukulia na kumthamini kimsingi atakuwa hafai kuwa Mpenzi, Mchumba na hata Mke,hivyo basi Jamaa ajikaze tu kwa muda japo inauma ili lipite maisha mengine yaendelee
 
Mpaka sasa WANAUME wote wamekushauri jambo moja tu la kukaa Kimya basi,na Kifupi unapaswa umshukuru Sana Mungu wako kwa kukuonyesha hili mapema,kwa maelezo yako ya hadi kumuachia pesa akutunzie inaonyesha una malengo nae ya kufika mbali kitu ambacho kingekuja kukuCost Kama sio Kulia na kusaga meno hivyo Shukuru hili limetokea mapema
 
Umgemwambia calm down it's fine babes,text me when you have transferred the money and don't fuckin say that you dont deserve me,babes remember birds dont fly anywhere that the wind blows,I will ring you later as we have to talk love xxxxxxx.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom