Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Kamaa karudishaa mpunga huyoo Jeuri aiseee aliempataa Ana balaaa
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Du likes za kufa mtu ndo first time naona mtu anagonga likes za kutosha
 
Mkuu unatakiwa kuwa Mtu wa kisasi kurudisha hadhi ya kiume tafuta either dada yake au mama yake mega kwa sauti hadi ajue kuhusu kumjibu sms achana nae fanya vitendo
aisee!
watu hamna huruma kabisa
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
Ungemsikiliza Jose..labda yasingetokea haya
Screenshot_20200930-033626.jpg
 
Hiyo picha mi siioni mbn 😂😂😂😂
Ila ukiona mwanamke anakujibu jeuri mvungie fanya kama umempotezea asikusumbue mkuu hulka yetu tuloumbwa nayo sisi tunaweza handle mahusiano so weka chini mzigo chukuwa mzigo mwingine twende kazi yan💪🏿💪🏿💪🏿🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom