Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Mpaka sasa WANAUME wote wamekushauri jambo moja tu la kukaa Kimya basi,na Kifupi unapaswa umshukuru Sana Mungu wako kwa kukuonyesha hili mapema,kwa maelezo yako ya hadi kumuachia pesa akutunzie inaonyesha una malengo nae ya kufika mbali kitu ambacho kingekuja kukuCost Kama sio Kulia na kusaga meno hivyo Shukuru hili limetokea mapema
Shukrani saana kwa ushauri wako mkuu.
 
Please bro u have to accept it no matter what and MOVE ON
Amekwambia kabisa (do it for your own better) hiyo sentence usiichukulie poa hata kidogo hawa viumbe huwa ni hatari sana . bora hapo amekwambia hivyo angeamua angekufanyia kitu kibaya ukajuta maisha yako yote.
Kwanza mshukuru Mola kuwa Huyo girl kaondoka mapema kwenye ur empire.
Move on bro life is so sweet
 
nataman km ili tukio kingentokea mimi.....kwanza tungekua tushaachana ata kabla ya iyo text....yn nikiona dalili za kutoelewana tu uwa najiengua kimya kimyaa...sinaga moyo wa kubembeleza mtu mimi
 
1. Mkuu BILGERT pole sana!
2. Huyo usimjibu Kitu!
3. Kuwa busy na mishe zako Mara 100 zaidi ya Mwanzo!
4. Kama "hali ya hewa" inaruhusu tafuta safari moja murua kabisa, unaweza kwenda pahala unapopapenda sana au laaah safiri sehemu ambayo hujawahi kufika!
5. Jiweke Mbali na maeneo ambayo yeye anapatikana kwa wingi!
 
Dah japo ni vigumu lakini there is no way ukiendelea kuwa nae utapata furaha ileile as long as ukikumbuka hizi maneno and what she actually means.... Move on mzee baba just let it go kumbuka we sio wa kwanza wala WA mwisho kukutwa na bwana Pepsi.... Move on
 
1.unatakiwa uulize chanzo cha yy kukuambua hivyo
2.Pima reaction yake kama ni irreversible au reversible
3 .amua according to point no 2
 
Hujanikosea, Mimi ndo nakukosea..

I will cherish the moment we had..

Kama hujaelewa hayo maneno mkuu utakuwa na utindio wa ubongo na macho. Hilo la kwanza ndio kila kitu. Kuna mtu anamfanyaga matusi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom