Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Hapo ndo unapoweza kuona umuhimu wa side chick kama hapo unauliza unatuma pesa zangu lini? Na pia unamtumia picha kadhaa ukiwa na mtoto mkare zaidi yake na pia
 
muulize pesa unatuma saa ngapi?.....sorry kuna biashara mlikuwa mnafanya pamoja? coz that bitch said atakurudishia!!!
Punyeto raha sana........huhongi,,,,huachwi.....no kalenda......popote ulipo ipo....
Sio biashara mkuu, kuna kiasi nilimpa akisave. Sio kikubwa saana, ni around 1M
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
AhahhahahahhahahhHahahhahHhHH ahahahhahahahhaha Nimecheka kama mazuri!!
kuachwa kiingereza kunauma enh!
hasa hako kasentensi!!

.......I DON'T DESERVE YOU!!
aseeeeh!!
yani sasa sijui umwambieje mtu anayedisqualify mwenyewe!!
Umpe moyo kuwa anakufaa,umeridhika alivyo!
Ambayo maana yake utakubali tu afanye vyovyote!
KWELI NIMEKUELEWA KWA NINI MANENO YA KUACHWA KWA KIINGEREZA YANAUMA!!
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
Huna sababau ya kumjibu, sms imejitosheleza so wewe piga kimya endelea na maisha yako.Ingawa kama ulimpenda sio rahisi kumsahau haraka ila utamsahau tu na nina uhakika kama hujamkosea chochote cha kumfanya aondoke basi atarudi tu na atakaporudi ni wewe sasa kuamua kuendelea nae au kumpotezea mazima.Siku hizi watoto wa kike wamekua na tamaa sana na mwisho wa siku huangukia pua sababu ya tamaa zao.Ila hata akijirudisha huyo sio mtu sahihi kwako mana ataweza kukuletea hata magonjwa.
 
We msisitize tu atume hizo hela unazomdai mengine potezea.
Na ikifika weekend hujapata wa kukushusha presha nitafute(natania) 😁😁😁
Ahsante mkuu kwa ushauri wako, ila ningetamani nkutafute kwelii. 😂
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
The message itself explains each and every thing,just be silence,do not answer anything,somehow it SHALL teach her that in love there is disturbances that you need to endure for the betterment of the two sides.And so far this will help YOU to reduce or eliminate stress and fear on love.Be blessed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom