we unampaje kahhaba pesa akutunzie ulishindwa nn kuweka hata kwenye M-PAWA?au benki za ovyo ovyo kama posta au fnd ambazo utaratibu wa kutoa hela unasumbua hivyo pesa zako zingekuwa safeSio biashara mkuu, kuna kiasi nilimpa akisave. Sio kikubwa saana, ni around 1M
Nyie viumbe mna dhambi sana dadeqNilishawahi mwandikia mtu hivyo, ila kaningangania hadi leo aiseee
Nyie viumbe mna dhambi sana dadeq
Hivi hamjui hua tunawalilia mno ? Usiku hatulali tunakesha kwenye uzi wa jf usiku wa manane
Muache kijana wetu aendelee na maisha yakeDeo mambo? Umeamua kuja humu kuomba ushauri?
Ur not a real man my dia
Ndo vifupisho vya Dear hivyo.... Wengine wanaita D , au Dii au Dee..... Wanawake mna mambo kweliKwani hyo ni dear? Me nmezoom nmeona kama ni Dee sijui ndo kifupi cha jina lake
Kama ni dear sidhan kama angefuta
Kwa hiyo unapiga tu pulitangu nipigwe chini mara mbili...tena bila sababu za kueleweka nimeamua kufuata yangu sinaga time kabisa! maisha ni murua kabisa
ukiwa bize na kwenda zoezi deile hivyo uviwazi kabisa..Kwa hiyo unapiga tu puli
Nipe mbinu mwana mi mwenyewe nna shida Kama yakoukiwa bize na kwenda zoezi deile hivyo uviwazi kabisa..
Oi nilikuwa ambiance Jana,kumepoa kinoma, nikaona kuna kahaba mmoja mzungu palejamaa unaonekana bahili sana, watoto wazuri wanataka matunzo we rudi mtaani uchukue mabaa-medi 0675639714
kuwa bize tu mkuu, fanya mambo yatokayo kukeep bize muda mwingiNipe mbinu mwana mi mwenyewe nna shida Kama yako
pia epuka kula vyakula mafuta mafuta kula natural food na zoezi kwa sanaNipe mbinu mwana mi mwenyewe nna shida Kama yako
Imenikumbusha miaka ya nyuma nikiwa na mchumba ambaye nimeshamtambulisha home.
Ghafla akakata mawasiliano. Ukituma msg hajibu, ukipiga simu hapokei.
Akipokea anakujibu "ntakupigia baadaye".
Ndio basi tena.
Siku moja nikapata msg " am sorry dear, just move on. Nimeamua kuolewa na mwanaume mwingine! Samahani kwa kutokutaarifu mapema"
Nilitamani dunia iishie pale tuhukumiwe tu.!!
Hawa wanawake we ukipata nafasi watumie effectively, wala hata sio wa kuwafikiria vile tunafikiri
,vipi wazazi uliwaambiaje?Vyakula vya mafuta vina effect ganipia epuka kula vyakula mafuta mafuta kula natural food na zoezi kwa sana