Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

1.unatakiwa uulize chanzo cha yy kukuambua hivyo
2.Pima reaction yake kama ni irreversible au reversible
3 .amua according to point no 2
Kweli kabisa, na kwa tabia za hawa mademu wa siku hizi hakuna kingine zaidi keshapata jamaa mwingine. Kwa hiyo it is hard to believe kama atabadili huo uamuzi wake. So the best thing he can do to himself, asimkubalie huyo demu kinyonge. Ampelekee a strong message ya namna ambavyo amekuwa disappointed na wala asionyeshe compromise yoyote na baada ya hapo apige kimya. Hii itaendelea kumsuta huko aliko na jamaa atabaki kuwa safe.
 
Nlivo-analyse texts za demu, inaonekana ww mtoa mada ni nice guy, na ulikuwa unampenda demu, kuliko demu anavokupenda ww, kwahiyo sasa hivi labda demu kapata mwanaume mwingine ambae anamwona ni bora kuliko ww (Alpha male) in terms of looks or money... Sorry bro BILGERT
 
Wakati mwingine ni kheri kuachwa kuliko kuacha. Kama atarudisha pesa zako basi kweli atakuwa amekuchoka, lakini kama atapiga kimya kujifanya amekuacha ha ha ha ha huyo atarudi tu nakuhakikishia atarudi tu! Wakati mwingine tamaa za kutaka vitu vidogo kwa muda mfupi siku zote huwa zinawafanya watu wakose vitu vingi. Me nimekuwa na mahusiano na mwanamke mmoja hivi; ameniacha kwa style kama hiyo hiyo baada tu ya kumpa kiasi fulani cha pesa maana kuna mipango tulikuwa tumeipanga. Aisee chukua tahadhari hawa watu wakiamua kukuacha wanasahau yote na huwa wanajiona wajanja sana, ukipiga simu hazipokelewi wala messages hazijibiwi. Me baada ya siku 2 kupita nilimtumia meseji moja kali ikamchoma, siku hiyo alinijibu kwa ufupi tu "sikutaki". Nilikubaliana na majibu yake japo maumivu makubwa yalikuwa kwenye pesa zangu tu, nimetapeliwa... Kwa kweli sikuweza kukaa kimya nilimchana ukweli najua ulikuwa unamuingia, basi akajidai eti pesa zako nitakutumia ila mpaka leo kimya na mimi wala sijamtafuta tena nimesamehe!
 
Exactly, hutakiwi kufanya compromise naye ataendelea na huo utapeli kwa wanaume zaidi maana ataona hakuna anayemzingua au kumpa maneno makali ya kumsuta nafsi yake. So long as ujumbe ameshaupata, piga kimya uendelee na mambo mengine na wala usihangaike kumuulizia kuhusu pesa
 
One of the very best breakout request....
Nlowah kuziona
Mr D Move on mzee and don't even turn back...
Mshukuru kwa yote Kama ni feni let it go mzee
 
Niliambiwa hivyo at some point kwenye hii game mnaiita mapenzi...nilichagua ku move on mazima...ila baada ya muda akaanza kunitafuta...promise you buddy, atarudi na misamaha milioni...don't giver her a chance
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
Man i hope umejifunza. Dont ever again kujarib kumuamini mwanamke asilimia zote. Usije ukarudia hilo kosa tena
 
Niliambiwa hivyo at some point kwenye hii game mnaiita mapenzi...nilichagua ku move on mazima...ila baada ya muda akaanza kunitafuta...promise you buddy, atarudi na misamaha milioni...don't giver her a chance
watu mna maexpirience sana aisee[emoji1]
 
Mimi nina mtizamo tofauti wengine.

Nikweli wee jamaa ,umeshindwa kupigania penzi lako???? Nikweli kabisa kama ndio mwanamke unayempenda, umeshindwa kukaa naye, kumpa shule ya maisha na mapenzi??? . Ikiwa unaprovide kwake huduma, Umekaa ukatafakar nn kinamisika kwako,??

Yaan kirahisi rahisi umuache mwanamke wako?? Kwann ukubali kua mshindwa?? Na unaona lugha yake inaeleweka kabisa???.

Daahhhh kweli siku izi mapenzi hayana Radha kabisaaa .
Man nadhani mchizi amejaribu ku play part yake. Inapofikia mahali mwanamke anablock hisia zake kwako and then anakutumia hii sms.. usijaribu kumrudisha.

I hope huyo mwanamke ni mtu mzima na anajua anachofanya.
Whatever it is anajua anachofanya. So it think sio jambo zuri kung'ang'ania demu ambae anataka kukuacha.. let her go.
 
Ilikuwaje mpaka ukamkopeshaa!??? Wewe USIJIBU msg yake yoyote japo hapo hela ndo inaumaaa aiseee.... Pole sanaa mzee hawa viumbe ndo walivyoooo
 
Nikweli , lkn bila shaka mwanzo walikua naraha......sasa nn kimebadilika?? Kama mwanaume nilazima uchukue jukumu la kutafuta shida ipo wapi.

There must be something wrong!! Tatizo siku izi mnawaacha waishi wanavyotaka.

Mind you mwanamke nikiumbe anayetakiwa kukumbushwa na kufundishwa kila leo ,!!!
Man nilishawahi kufanya unayoyasema. I threw everything at her. Money, advice, outing.. kila kitu . Na alijua nimejitoa kwakwe moja kwa moja.

Lakin kumbe alikiwa na njemba lingine nje.
Niakaishia kubaki na maumivu yangu makubwa ambayo yalinibadilisha forever.

For the record mwanamke aking'ang'ania kuondoka au kukuacha bila sababu. Let her go.. it wont be good hata ukilazimisha kubaki nae. Atabaki hakupendi wkt ww unahangaika kumpenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom