Shobi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,401
- 4,371
vyakula vya mafuta uzalishaji wa homoni unakuwa juu sana na vichocheo vinakuwa na nguvu sanaVyakula vya mafuta vina effect gani
vyakula vya mafuta uzalishaji wa homoni unakuwa juu sana na vichocheo vinakuwa na nguvu sanaVyakula vya mafuta vina effect gani
Acha kabisa mkuu, dada zangu walijua nadhani ndio walimwambia Maza.![]()
![]()
![]()
,vipi wazazi uliwaambiaje?
Hahaaaa!!! Mi ningekamata ningetandika vibaoAcha kabisa mkuu, dada zangu walijua nadhani ndio walimwambia Maza.
Lakini hawa viumbe sio wa kuside nao kabisa.
Jifurahishe mwenyewe tu.
Mkuu sikutaka kupambana na mwanamke.Hahaaaa!!! Mi ningekamata ningetandika vibao
HahaaMkuu sikutaka kupambana na mwanamke.
Alikuwa Mwanza Mimi Dar.
Ilinichukua muda kukaa sawa lakini nilikuja kuwa sawa tu..
Unfortunate siku moja nikiwa maeneo ya kazi mzee wake akawa na shida na mtoa huduma ndio mimi.
Nilimhudumia vizuri mzee wa watu.
Alivyokuja kujua alinitafuta, akaniomba samahani na kunishukuru.
Mpaka leo naamini ni ndugu zako tu ndio mnaweza kuwa pamoja.
Hawa wanawake ni unfortunate tu ilitokea tukubali kuishi na strangers kwa kweli
,mbaya zaidi ulimtambulisha kabisaAcha kabisa mkuu.!!Hahaa![]()
![]()
,mbaya zaidi ulimtambulisha kabisa
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.
Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.
Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?
Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
View attachment 836200

Ukiachwa na demu anayejua kiinglish inauma sana maana kila ukiona daily news au the gurdian mawazo yanarudi upyaaaaa.. MOVE ON

Mwanaume unatoa machozi kisa mwanamke?Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Kwanza pole,Maneno yake yako wazi brother she dont need you anymore,shukuru amekwambia ukweli anajiona hakufai lakini iangalie tafsiri ya picha shortly ni mtu alieamua kuwa na mtu mwingine thus is about the picture kama unaelewa lugha rahisi aliyotumia kwenye picha aliyoished.Hahaa![]()
![]()
,mbaya zaidi ulimtambulisha kabisa
Ila cha kumjibu ili ajue umekubaliana nae mjibu either thank you, or OK... Half achana nae, usimblock popote, ila namba yake futa. Wanawake wapo wengi sana na amini yupo bora zaidi yake ila kikubwa refresh your mind na usianzshe mahusiano mengine. Ht akijirudi usimsamehe, huwa naogopa sana wanawake wanaokuacha hujawafanya kitu, huenda ana MTU nje ndo maana anakukosea Mara kwa Mara. Na kingine usimwamini mwanamke hvyo mpk kumpa akutunzie pesa. Mwamini u're mom only. AKILI ZA WANAWAKE WANAZIJUA WENYEWE, nshatendwa na wanawake hivyo, ila kwa badae walinitafuta, na MTU mwngne nnae huwa naishia kuwachezea tu
Aise una bahati sana .huyo Dada pia muungwana sana .amekuambia ukweli mapema tofauti na wengine angekutesa tu .mwelewe tafadhaliMoja kwa moja niende kwenye mada,
Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.
Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.
Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?
Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
View attachment 836200
Nimekusoma mkuuHivi mpaka mwanamke anapata wazo, anapanga na kupata ujasiri wa kukuacha wewe upo tu hata usimwahi ukammwaga wewe. Kinachouma ni kuachwa.
Wewe wa kiume una kura ya veto kulivunja bunge kabla halijakupigia kura ya kutokuwa na imani na wewe.
Next time be sharp and the first one to press the break button.