Najua..ila nayo yatapita tuInauma saana mkuu, Haya mambo yasikie tu
Kuna mtu kashauri uitumie SMS kama ushahidi wa yeye kuwa na pesa yako.Inauma saana mkuu, Haya mambo yasikie tu
Shukrani saana mkuu, huyu binti nilimuamini saana. Kuliko hata ma ex zangu... But anyway hatujui siku wala saaUse the tricks to gather evidence.
Yeye alisema ataituma in no time, mpaka masaa 12vyanapita na hajaituma ujue hana nia tena.
Ndo maana anakuja na vitisho vya "you are asking too much".
Cha kukushauri, usiandike amount kwenye hizo convo zenu, nenda naye hivyo hivyo.
Tunaumizwa na tunao waamini.Shukrani saana mkuu, huyu binti nilimuamini saana. Kuliko hata ma ex zangu... But anyway hatujui siku wala saa
Aisee chalii angu kumbe ni mwalimu move on haraka sana ht huna haja ya kujibu ipo cku muda utaongea kapata mwingine huyo na inaonekana ana tamaaHahaa, mkuu inauma saana. Huyu ni mbongo, mwalimu wa primary. Yuko vyema kizungu
DuuuhhhKuna wakati nilikaa miaka mitano 😀
Na nibora akapat walau mmoja mtu wa kusema nae ili kifua na moyo upate hauwenKukaa kimya nalo ni jibu mkuu au hujui?