Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu Muhusika alinunua uzuri wa mwonekano wa picha za monica michael...kiuhalisia...aliwin trust kupitia picha alizoziona na sauti ambayo kwa uhakika lazima ilikua very Romantic kiasi kuwa alijiaminisha pia wakianza mahusainao ya kibiashara basi uenda mdogo mdogo nae angewin trust wa mrembo huyo.Naweza kuamini mdau mleta uzi ni muungwana ambae mara nyingi kuingizwa chaka na mabinti kwa style hizi huwa ni vilahisi sana kuliko vijana ambao ni maalufu kama watoto wa mjini.

Sie watu wa masoko tunaona alinunua uzuri wa mwonekano wa monica michael ambae kwenye Picha na uenda sauti aliyoamini kuwa ndiye huyo huyo Monica Michael yawezakuwa ni watu wawili tofauti kabisa.Vinginevyo aje na uthibitisho labda wa reoced webcom ambayo inamuoyesha Monica Michael akifanya nae mazungumzo na kuamini ndiye halisi aliye kwenye picha.Vingievyo achukulie aliyopitia ni shule ya kivitendo...uenda hakuna Monica Michael.

Nilikimbilia hapa nikijua Je ni Monica Michael ninaemjua Mimi nikakuta sio yeye huyu ni mwingine japo figure wanakaribiana kufanana
 
Unapofanya manunuzi ya mtandao jitahidi kujiridhisha kwa hatua kadhaa kama kuongea na muuzaji ama mnunuzi pia kuangalia namna ya kukutana na kama mpo mbali ni kutumia agent kuprove
Kwa case hii kuna mapungufu mengi
Kwanza haina uhakika kama huyo ni mwanamke
Pili matumizi ya namba ya Kenya yanatia shaka
Tatu inaonekana ni mtu anayetumia picha sio zake na ukizitazama sana kuna vitu vinafichwa na pia backgrounds zake sio za huku kwetu labda anaziiba Instagram au Facebook
Hao mzee kimetumika chambo cha urembo na umenasa! Hiyo 75k ungeenda mjini ungejichagulia bidhaa bora
Jitahidi kununua/kuuzaonline kwa mtu uliyekwishamfahamu na kwa cash kama ni muamala mpaka u-withdraw
Na mwisho usipende kufanyiwa kila jambo, kuibiwa uibiwe wewe halafu Invisible akuripotie TCRA
Nenda mwenyewe Police fungua jalada na pia fikisha taarifa TCRA wote hao watambaini mara moja huyo tapeli
 
Mkubwa hata ungekuwa ni wewe kwenye raba ungeniibia, mm n mlevi wa raba aisee, ila tu kwa sababu hunijui
 
Unapofanya manunuzi ya mtandao jitahidi kujiridhisha kwa hatua kadhaa kama kuongea na muuzaji ama mnunuzi pia kuangalia namna ya kukutana na kama mpo mbali ni kutumia agent kuprove
Kwa case hii kuna mapungufu mengi
Kwanza haina uhakika kama huyo ni mwanamke
Pili matumizi ya namba ya Kenya yanatia shaka
Tatu inaonekana ni mtu anayetumia picha sio zake na ukizitazama sana kuna vitu vinafichwa na pia backgrounds zake sio za huku kwetu labda anaziiba Instagram au Facebook
Hao mzee kimetumika chambo cha urembo na umenasa! Hiyo 75k ungeenda mjini ungejichagulia bidhaa bora
Jitahidi kununua/kuuzaonline kwa mtu uliyekwishamfahamu na kwa cash kama ni muamala mpaka u-withdraw
Na mwisho usipende kufanyiwa kila jambo, kuibiwa uibiwe wewe halafu Invisible akuripotie TCRA
Nenda mwenyewe Police fungua jalada na pia fikisha taarifa TCRA wote hao watambaini mara moja huyo tapeli

Mkubwa asante sana kwa ushauri, pia natamani sana kufanya hivyo ila sasa hawa wenzetu TCRA na police itakuwa mizunguko kama unavyofaham na kujiongezea gharama labda nimcopy mheshimiwa Mwigulu Nchemba anaweza nisaidia, kama aliweza msaidia yule jamaa wa mgodini akiyepigwa na wachina nami atanisaidia
 
Sema tu hayajakutokea, kwan wewe hujawai mtumia demu nauli na hakuja? Haya ni matokeo tu
Mkuu nimewatumia mademu wengi sana nauli na hawajatia mguu lakini hii kesi yako inanipa ukakasi kidogo. Utalipiaje mzigo kabla ya kuona ubora wake? Hv viatu au nguo ni bidhaa adimu sana hata uagize kutoka mbali na kulipia kwa MPESA? Kutapeliwa huku liwe fundisho kwako.
 
Sasa isingekuwa kizembe unadhani ningeibiwa?

Huna lolote jamaa tatizo lako ulitaka ujifanye wewe ni papaa una hela chafu mpaka unalipiaga mizigo bila kuiona. Kisa tu umeona ni demu, sasa ndio kakukomesha.

Papaa analiaa, anatia hurumaaa

Anatia hurumaaa hurumaa tumsamehee[emoji23]
 
Mkubwa asante sana kwa ushauri, pia natamani sana kufanya hivyo ila sasa hawa wenzetu TCRA na police itakuwa mizunguko kama unavyofaham na kujiongezea gharama labda nimcopy mheshimiwa Mwigulu Nchemba anaweza nisaidia, kama aliweza msaidia yule jamaa wa mgodini akiyepigwa na wachina nami atanisaidia

0.75K usaidiwe na Nchemba? Ha ha haaaa, take easy, lichukulie kama fundisho na umetusaidia wengine tusiibiwe kama ulivyoibiwa. Pole sana mtani
 
Pouwa mkuu umesomeka, wewe unaona .75k ni ndogo kwenye usawa huu wa mh.
 
Ahahahahaaa umenikumbusha mbali sana mkuu.

Kuna bosi wangu mmoja juzi kaniambia ukiona mtu ana namba ya simu zaidi moja ujue huyo ni tapeli na mwizi.
Duh basi mimi ni field marshall tapeli maanake nina namba tofauti nne....airtel,tigo,voda,halotel.
 
Huna lolote jamaa tatizo lako ulitaka ujifanye wewe ni papaa una hela chafu mpaka unalipiaga mizigo bila kuiona. Kisa tu umeona ni demu, sasa ndio kakukomesha.

Papaa analiaa, anatia hurumaaa

Anatia hurumaaa hurumaa tumsamehee[emoji23]

Hata haya ni mawazo pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom