Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 15,775
- 38,420
Hapana, hizo zimepitwa na wakati.Baby do you need an iPhone 14 pro max + as a gift during this festive season?
Please please say yes!
Nataka 15 pro max baby 😜
Hapana, hizo zimepitwa na wakati.Baby do you need an iPhone 14 pro max + as a gift during this festive season?
Please please say yes!
Ukiondoa 2 na 5 uko sahihih sana na nakazia hasa hasa 1 na 3.Mshamba ni :-
1. Mtu yeyote aliyeoa/kuolewa hasa kwa harusi
2.Mtu yeyote asiyefahamu kutumia kompyuta hasa hasa ku type.
3. Mwanaume yeyote anayeenda kwa mitume kukanyaga chumvi
4.mwanamke yeyote anayesukia rasta/kuvaa wigi
5.Mtu yeyote anayeweka R badala ya L kwenye sentensi
6. Mtu ambaye hana choo kizuri kwake
7.Mtu yeyote anayevuta tumbaku
8. Mtu yeyote anayeomba omba pesa wakati kazaa mwenyewe
9.Mwanamke yeyote anayepaka makeup
10.kama una sabufa na kimeza cha kioo wewe ni mshamba
Be assured you'll get it ASAPHapana, hizo zimepitwa na wakati.
Nataka 15 pro max baby 😜
Kuna uwezekano mkubwa na wewe pia ukawa mshamba wa kufatilia na kushangaa mambo ya watuMshamba ni nani?
Jibu : Mshamba ni mshamba.
Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?
Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini
1. Akiwa anatumia True Caller.
Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.
2. Ana namba za simu ambazo ni unique.
Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:
0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time namba hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)
3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina fanana.
Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :
Tigo: 0712 35 67 89
Voda ; 0766 35 67 89.
Airtel: 0688 35 67 89.
siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako
Hii imeendaMshamba ni :-
1. Mtu yeyote aliyeoa/kuolewa hasa kwa harusi
2.Mtu yeyote asiyefahamu kutumia kompyuta hasa hasa ku type.
3. Mwanaume yeyote anayeenda kwa mitume kukanyaga chumvi
4.mwanamke yeyote anayesukia rasta/kuvaa wigi
5.Mtu yeyote anayeweka R badala ya L kwenye sentensi
6. Mtu ambaye hana choo kizuri kwake
7.Mtu yeyote anayevuta tumbaku
8. Mtu yeyote anayeomba omba pesa wakati kazaa mwenyewe
9.Mwanamke yeyote anayepaka makeup
10.kama una sabufa na kimeza cha kioo wewe ni mshamba
Mgerasi bana 🤣🤣Mishamba ni kina adriz na Chaliifrancisco . Yani hii mijitu imetokea kukera bila maelezo. Inajifanya eti neutral.
Neutral mafii yenu?
Mbusii nyie!
Maana yake Uingereza, ufaransa na Italia hakuna washamba kwa kigezo hiki.Kipimo kikubwa cha ushamba ni kutoweza kuongea kiingereza/kifaransa au basi angalau kiitaliano.
Siipendi hii tabia… ukinambia hivyo uwa nakaa kimya kwanza nangoja ubadili maongeziUnapiga simu haipokelewi ,Badae akipokea " Hivi mbona nikipiga simu ulikuwa hupokei " huyu namuona mshamba ,nenda kwenye point moja Kwa moja .....