Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba? Vyangu hivi hapa chini👇

Mshamba ni :-
1. Mtu yeyote aliyeoa/kuolewa hasa kwa harusi
2.Mtu yeyote asiyefahamu kutumia kompyuta hasa hasa ku type.
3. Mwanaume yeyote anayeenda kwa mitume kukanyaga chumvi
4.mwanamke yeyote anayesukia rasta/kuvaa wigi
5.Mtu yeyote anayeweka R badala ya L kwenye sentensi
6. Mtu ambaye hana choo kizuri kwake
7.Mtu yeyote anayevuta tumbaku
8. Mtu yeyote anayeomba omba pesa wakati kazaa mwenyewe
9.Mwanamke yeyote anayepaka makeup
10.kama una sabufa na kimeza cha kioo wewe ni mshamba
Ukiondoa 2 na 5 uko sahihih sana na nakazia hasa hasa 1 na 3.
Jamani nachukia Rasta na Mawigi nisiseme sana nitatukana.
 
Mshamba ni nani?

Jibu : Mshamba ni mshamba.

Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?

Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini

1. Akiwa anatumia True Caller.

Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.

2. Ana namba za simu ambazo ni unique.

Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:

0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time namba hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)

3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina fanana.

Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :

Tigo: 0712 35 67 89

Voda ; 0766 35 67 89.

Airtel: 0688 35 67 89.

siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako
Kuna uwezekano mkubwa na wewe pia ukawa mshamba wa kufatilia na kushangaa mambo ya watu
 
Mshamba ni :-
1. Mtu yeyote aliyeoa/kuolewa hasa kwa harusi
2.Mtu yeyote asiyefahamu kutumia kompyuta hasa hasa ku type.
3. Mwanaume yeyote anayeenda kwa mitume kukanyaga chumvi
4.mwanamke yeyote anayesukia rasta/kuvaa wigi
5.Mtu yeyote anayeweka R badala ya L kwenye sentensi
6. Mtu ambaye hana choo kizuri kwake
7.Mtu yeyote anayevuta tumbaku
8. Mtu yeyote anayeomba omba pesa wakati kazaa mwenyewe
9.Mwanamke yeyote anayepaka makeup
10.kama una sabufa na kimeza cha kioo wewe ni mshamba
Hii imeenda
 
-Mfu mwenye kadi ya CCM

- Mtu anyetumia simu za Infinix au TECNO

- Mtu anayeenda hotelini na kuagiza chapati 3 badala ya 2 au 4

- Anayekula mandazi au miwa barabarani

- Anayejichubua
 
Wote tunaoshangilia umeme ukirudi ni Washamba

Hasa wale wasemao Huooooo...! hata kama ni kimoyomoyo ni ushamba kwhy Wabongo wote ni Washamba tu
 
-Mfu mwenye kadi ya CCM

- Mtu anyetumia simu za Infinix au TECNO

- Mtu anayeenda hotelini na kuagiza chapati 3 badala ya 2 au 4

- Anayekula mandazi au miwa barabarani

- Anayejichubua
Na anae sikiliza redio
 
Kwenye usafiri wa umma ndio kuna washamba wengi sana, utawajua kupitia maongezi yao wakiwa wanaongea na simu.
 
Back
Top Bottom