Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

View attachment 170799watakula wapi kama pododo haitobanwa kwa staili hii?Hawa watatumaliza wengi wamekuwa mafundi waliobobea kwenye mitego!
Wanafanya hivyo kwa sababu wanajua watejawapo, tena wateja wasiojitambua kama hao wanaosema watamalizwa. Kwani nyie akili hamna? Siku mkiwaacha walivyo wavaa vizuri
 
Sipingani na wewe mkuu, ila sasa uvaaji huu una makusudio gani hasa?

Makusudio yote yanayoambatana na mavazi, kujistiri, kupendeza, kuvutia, kuamsha zogo, kujitambulisha, kujificha...yaaani we weka zote zinazohusiana na mavazi
 
Wanafanya hivyo kwa sababu wanajua watejawapo, tena wateja wasiojitambua kama hao wanaosema watamalizwa. Kwani nyie akili hamna? Siku mkiwaacha walivyo wavaa vizuri
Wangu huyu nishamuwahi!!!!
 
this.jpg

Hayatuhusu...
 
Kweli kabisa mkuu.

Wanafanya hivyo kwa
sababu wanajua watejawapo, tena wateja wasiojitambua kama hao wanaosema
watamalizwa. Kwani nyie akili hamna? Siku mkiwaacha walivyo wavaa
vizuri
 
"Ukiona mwanamke anavaa mavazi yanayoonesha mwili wake kwa zaidi ya robo tatu, jua kuwa hauna thamani tena" make umeshaonwa mpaka basi....

Hiyo ni nukuu tu na sio maneno yangu!
 
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.

dah ila mkuu....ngoja nisiseme sana
 
Na wanaovaa milegezo na chupi zao chafu zinaonekana unasemaje? Nadhani mada iwe juu ya uvaaji na tusipoint fingers maana hata wanaume wanavaa ovyo sana siku hizi. Wasichana plus wavulana woe ovyo siku hizi!!!
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.
 
Ni kweli kabisa mkuu, unakuta mwanaume anaonesha vazi la ndani.

Na wanaovaa milegezo na
chupi zao chafu zinaonekana unasemaje? Nadhani mada iwe juu ya uvaaji na
tusipoint fingers maana hata wanaume wanavaa ovyo sana siku hizi.
Wasichana plus wavulana woe ovyo siku hizi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom