Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

This is free world fanya utakavyo cha maana usivinje tu sheria za nchi husika,kama uvaaji wao unakutia majaribuni ni BORA kutowakodolea macho tu

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Watu wenye mawazo kama wewe ndio wanaoendekeza USHOGA kwa kisingizio cha free world eti kwa sababu miku.ndu ni yao.
 
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.

Weka picha
 
1. Kila mtu ana uhuru wa kuvaa apendavyo ingawa wengi wetu hatujui vazi lipi tuvae wapi.
2. Malezi na mazingira aliyokulia/kulelewa mtu pia yanachangia kwa kiasi kikubwa kwenye swala zima la dressing cord.
 
Katika historia ya dunia,kila jambo lenye kuvunja/kubomoa jamii basi linaonekana ni maendeleo na litatetewa na watu wengi.Kuna siku watakuwa wakibadili pedi vituo vya mabasi.
 
Samani mkuu,
nadhani mkuu aliyechangia alimaanisha wale wanawake wanaoanika miili yao wazi hadharani.
Sasa bila kujali rika ya wanawake hao, kama mtu ameanika maungo yake ya ndani huyo yupo kibiashara tu, hata kama ni mkeo.

U
Punguza ukali wa maneno kuhusu wanawake,kumbuka mama zetu,dada zetu,wake zetu,you name it!
 
mtu anaevaa nusu uchi hajitambui na hajui kuvaa kulingana na eneo husika beach ukivaa charanga watakushangaa na kariakoo ukivaa kikaptula katikati ya mapaja utavuliwa kweupe muhimu ni kujua wapi uvae nini basiiii
 
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.

Nini cha kushangaza hapo ? una umri gani unaonekana hujawahi kumvua mwanamke nguo
 
mtu anaevaa nusu uchi hajitambui na hajui kuvaa kulingana na eneo husika beach ukivaa charanga watakushangaa na kariakoo ukivaa kikaptula katikati ya mapaja utavuliwa kweupe muhimu ni kujua wapi uvae nini basiiii

Mcute kichwani
 
Katika historia ya dunia,kila jambo lenye kuvunja/kubomoa jamii basi linaonekana ni maendeleo na litatetewa na watu wengi.Kuna siku watakuwa wakibadili pedi vituo vya mabasi.

Uhuru wa kujivalia hovyo hovyo Upo Tanzania tu,Maana Waziri wa Utamaduni anawaogopa sana wavaa Hovyo,Hakuna Kiongozi Tz atathubutu kukemea au kupiga marufuku Uvaaji wa nguo kinyume na maadili ya kitanzania,Wavaaji wa hovyo ( Kata K,Milegezo,vimini na vitaiti ) wanajua Viongozi wanawagwaya sana kwa sababu ndio wapiga Kura mwakani 2015,kule Uarabuni kote hadi Uganda nidhamu ya Uvaaji nguo inazingatiwa kwa asilimia kubwa kutokana na Viongozi wa huko kuthubutu kupiga Marufuku .Je? Tanzania kuna kiongozi anaweza Hilo?
 
Hapa Tz kiongozi wa Kuthubutu kupiga Marufuku Uvaaji nguo hovyo hovyo bado hajazaliwa,na Kama yupo basi lazima atakuwa mwoga sana,Mseveni wa Uganda kaweza lakini Tz wanaogopa sana wanadai wenye kupenyeza Uvaaji Hovyo ndio watoa Misaada endapo watautokeza Uvaaji wa hovyo huenda misaada ikasitishwa, hili ni Gumu kumeza Kama ilivyo vigumu kwa Gari zenye Tinted kule Kenya wameanza kuelewa,Uganda na Rwanda wao kitambo Tinted ni marufuku Kama ilivyo South Africa kazi ipo Tz tu ! Nani atathubutu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom