PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 866
- 151
- Thread starter
- #141
Mwanaume kuvaa mlegezo ni janga la taifa. Ni sawa na maradhi, umaskini, ujinga, rushwa etc
Mlegezo unakuja kwa
kasi sana huku Kiongozi wa kuuzui bado hajazaliwa ,sasa jiulize mpaka
siku kiuongozi wa kuthubutu akizaliwa Mlegezo utakuwa umefika
wapi?