Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Wanawake wote wanatakiwa wavae hijabu hii ndiyo madhara ya ki-magharibi.itabidi matawi ya Bokakharam yasogee hadi huku.
 
Biashara matangazo?
Halafu mnavaa viatu ambavyo vinawashinda kutembelea, mkitembea utadhani mna majipu kwenye visigino.

Mkitaka kukaa sasa ndio shida, maana vinguo haviruhusu kukaa, hadi muanze kusumbuka na vitenge na kanga, loh!
Nawe unawachunguza mno,wanavyovaa,wanavyotembea,wanavyokaa!
Heh!!
 
This is free world fanya utakavyo cha maana usivinje tu sheria za nchi husika,kama uvaaji wao unakutia majaribuni ni BORA kutowakodolea macho tu


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Muwashukuru hata hao wamagharib mmesahau mlikua mnavaa gogo la g-string?
Wanawake wote wanatakiwa wavae hijabu hii ndiyo madhara ya ki-magharibi.itabidi matawi ya Bokakharam yasogee hadi huku.
 
Mkuu, mdada anasimama kituoni halafu anaingia kwenye public transport utadhani anatoka dressing room na safari inaishia master bedroom!!

This is free world
fanya utakavyo cha maana usivinje tu sheria za nchi husika,kama uvaaji
wao unakutia majaribuni ni BORA kutowakodolea macho tu


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
haya mavazi siku hizi ni shida kwelikweli jamani...ukijistiri unaambiwa mshamba na unaonekana kama mzee mweh! ni tabu tupu! mwisho wa siku kila mmoja ajitambue tu thamani yake na avae kulingana na anavyojiona na kujithamini na kujitathimini na kujielewa..kujitambua..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.
Piga fimbo haoooooooooo pumbavu zao................
 
Wangejua Mbinguni hawatakuwa wanavaa hivyo vinguo vyao hata wasingrkuwa wanavivaa
 
this.jpg
 
Hayo yooote uliyoyataja wanawake wa kikuffar ndo wavaavyo wanawake musilimat,muuminat,hawavai hivyo ni chukizo kubwa kwa Mola wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom