Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

this.jpg

Aisee mi napenda sana hii makitu
 
hehehe hii inaweza haribu hali ya hewa ndani ya boxer
 
Mkuu wewe unafanyia ngono hadharani? Maana me nachojua kama ni kuvuana nguo kunafanyika kwenye sehemu private sana.

Sasa inakuwaje wewe unataka watu wakae uchi hadharani? Wewe ndio hujawahi kuona sasa unataka watembee naked uone.

ukifanya ngono hadharani kwani m boo haingii?
 
Bila shaka biashara yako ni ya kuuza hivyo vinguo ambavyo havina hadhi ya kuitwa nguo. Maana haviusitiri mwili bali vinaudhalilisha mwili.
sijakuelewa aisee!
hebu elezea zaidi!
 
Waahe watUondole msongo wa mawazo BARABARANI. NI BURUDANI YA AINA YAKE

Huna haja ya kuwakodolea mimacho
 
Lipia kodi tangazo la biashara yako
\
unajua nyie wanaume mnaodhani kila mwanamke anayevaa hovyo anafanya biashara nyinyi ni wahuni, akili zenu mmezitune huko, huna kazi za kufanya mpaka umkodolee macho mtoto wa mwanaume mwenzio!!! mtu anavaa vile anavohisi atakua huru. Ingekua ivo hata kuoga tungekua tunaoga kisa tunawaogopa nyinyi... mtupisheeeeeeeeeeeeee... mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu :bump::bump:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom