Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huyo anayehangaika na kanga atakua hajiamini na anachokifanya,
Biashara matangazo?
Halafu mnavaa viatu ambavyo vinawashinda kutembelea, mkitembea utadhani mna majipu kwenye visigino.

Mkitaka kukaa sasa ndio shida, maana vinguo haviruhusu kukaa, hadi muanze kusumbuka na vitenge na kanga, loh!
 
Mi nakerwa sana na wale wanaovaa tu vipedo wakat vi miguu vyao ni vyembamba halafu vina mabaka mabaka kama nguo za jeshi
 
waache wavae kwani kuna sheria ya mavazi? cha muhimu maisha yanasonga aisee. we kama hutaki kutazama pita mbali. mimi leo nimekutana na mzigo huo hatari sana.
 
mauwa mazuri ya pendeza
ukiyatazama yanafurahisha
yaita wanaume twende guest...
 
Tunarudi tulikotoka....kwanza Waafrika nguo mliletewa so nsijifanye mnajua kuvaa sana
 
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.
weather!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom