Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

hapo unajuwa kuna tofaut nyingi kuna wengne wanafosi fashen kwa kuvaa nguo icyoendana na mazingira na wengine wameshadata yeye anapga vovote anatoka swadakta so akil kumkichwa km uko njia ww kuangalia watu ukienda majuu uko utakufa kwa kushangaa
 
tudabilike jamani huo ni upuuzi! mwisho wake lotakuwa taifa la wendawazimu kila kitukukopy tena kwa mataifa yaliyoharibika kitabia je wao wajifunze nn kwetu!
 
Acha uongo, mwanamke anaevaa kwa kujisitiri haitwi mshamba, anaitwa wife material. Jina zuri na lenye mvuto kabisa.

Huyo mwanamke anayejifanya mjanja kuanika viungo vyake hadharani ndio mshamba, kwa sababu hajui thamani ya mwili wake. Na huyo anaitwa kicheche.

haya mavazi siku hizi ni
shida kwelikweli jamani...ukijistiri unaambiwa mshamba na unaonekana
kama mzee mweh! ni tabu tupu! mwisho wa siku kila mmoja ajitambue tu
thamani yake na avae kulingana na anavyojiona na kujithamini na
kujitathimini na kujielewa..kujitambua..
 
this.jpg

Muite tafadhali sana!!!!!
 
Kuna mkuu humu JF amesema hali ya hewa bongo inachangia vicheche kutembea nusu uchi, sasa kule majuu kuna baridi sana mkuu, inawezekanaje mitaani watu watembee "robo tatu uchi?"

hapo unajuwa kuna tofaut
nyingi kuna wengne wanafosi fashen kwa kuvaa nguo icyoendana na
mazingira na wengine wameshadata yeye anapga vovote anatoka swadakta so
akil kumkichwa km uko njia ww kuangalia watu ukienda majuu uko utakufa
kwa kushangaa
 
the times are hard.....!! so they bring the goods closer..!
 
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.

Huwezi kununua matunda yakiwa kwenye mfuko wa "RAMBO"...!
 
Sipingani na wewe mkuu, ila sasa uvaaji huu una makusudio gani hasa?

Watumiaji, enzi hizo
saa hizi wewe uko shamba au unachunga saa hizi lakini unabofya hapo,
hayo ndio mabadiliko hasi na chanya!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom