Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

mtu anaevaa nusu uchi hajitambui na hajui kuvaa kulingana na eneo husika beach ukivaa charanga watakushangaa na kariakoo ukivaa kikaptula katikati ya mapaja utavuliwa kweupe muhimu ni kujua wapi uvae nini basiiii
Wananchi mda wote ni watu wa kuongozwa na kukumbushwa maadili ya mtanzania Je? Ni lini Mara ya mwisho umemsikia Waziri akiwakumbusha wananchi juu ya hayo? Swali anawaogopa? au yupo busy na katiba mpya au yupo busy akiwaza bajet na uchaguzi mwakani?
 
Tunarudi tulikotoka....kwanza Waafrika nguo mliletewa so nsijifanye mnajua kuvaa sana

Kwani tekinolojia inaludi nyuma? Kama watu waliletewa nguo na wazungu ndio wavae hovyo hovyo? Si lazima tu-copy kila analofanya Mzungu ,waafrika tuna maadili yetu iweje Leo watu wanayasariti kienyeji?
 
Huyu ajiitae ustadhi humu ndani then anasapoti ujinga anajielewa kweli?
 
Asante sana mura, ughambire bhuya.

Wananchi mda wote ni
watu wa kuongozwa na kukumbushwa maadili ya mtanzania Je? Ni lini Mara
ya mwisho umemsikia Waziri akiwakumbusha wananchi juu ya hayo? Swali
anawaogopa? au yupo busy na katiba mpya au yupo busy akiwaza bajet na
uchaguzi mwakani?
 
Mkuu wewe unafanyia ngono hadharani? Maana me nachojua kama ni kuvuana nguo kunafanyika kwenye sehemu private sana.

Sasa inakuwaje wewe unataka watu wakae uchi hadharani? Wewe ndio hujawahi kuona sasa unataka watembee naked uone.

Nini cha kushangaza hapo ? una umri gani unaonekana hujawahi kumvua mwanamke nguo
 
Na hakuna mipaka isiyo na mipaka!

Madhali watu hawatembei na nguo za ndani, waachwe wavae wapendacho.
Kule USA Wasanii wakubwa huvaa Mlegezo Jukwaani, kwenye Show na kuonyesha nguo za ndani hulipwa na makampuni kwa kuwatangazia soko ,lakini huko huko USA kuna majimbo yamepiga marufuku uvaaji wa hovyo hata Shirika la Ndege la America wameweka mabango kwenye ndege zao kupiga marufuku uvaaji wa hovyo kwa wasafiri wanatumia ndege zao,Pia hapa Uganda na Rwanda ni mfano ,kumbuka wananchi mda wote ni watu wa kukumbushwa wakiachiwa wajivalie watakavyo ujue watajivalia vioja.
 
Watanzania huwa ni wepesi ku-copy Utamaduni wa hovyo hovyo kuliko ku-kopy uchapa kazi ,sasa vijana wa siku hz wamepagawa na Milegezo kiasi kwamba hata utembeaji umebadilika,wavaa milegezo na Vinguo vya Ajabu ajabu sasa ni full Majanga ! Wabunge,mawaziri na Viongozi wote Wamegoma kuthubutu kulikemea hili,ipo siku tutashuhudia Milegezo sehemu tusizotarajia, chezea mlegezo wewe.......
 
Mkuu wewe unafanyia ngono hadharani? Maana me nachojua kama ni kuvuana nguo kunafanyika kwenye sehemu private sana.

Sasa inakuwaje wewe unataka watu wakae uchi hadharani? Wewe ndio hujawahi kuona sasa unataka watembee naked uone.
Mlegezo unakuja kwa kasi sana huku Kiongozi wa kuuzui bado hajazaliwa ,sasa jiulize mpaka siku kiuongozi wa kuthubutu akizaliwa Mlegezo utakuwa umefika wapi?
 
Kutojielewa, ushamba, umasikini wa fikra ndio sababu ya watu kuvaa ovyo
 
nawe kabisa unasema hivyo?au mwingine?

We Bonge la mtu...me nashukuru najielewa siki nyingi....najistiri kwa maana ya kujistiri hasa....

Ila nawashangaa wanaume wa humu manake kuna siku walituponda sana tunaovaa hijabs...sasa leo tena wanawaponda wanaotembea nusu uchi...nashangaa wanataka nini hasa....
 
Walio wengi hasa vijaNA
Sio kosa lao,HAWAJAFUNDISHWA
Ndio Maana nimeanzisha taasisi ya Adili Tanzania ili kutoa elimu hiyo ,
Tovuti haijawa tayari kwa sasa tembelea ukurasa wangu wa facebook Adili Tanzania
 
Mdada hongera, kumbe wewe unajielewa halafu unataka kuwatetea wale mafukara wanaofanya shopping za nguo kwenye maduka ya wototo!!

We Bonge la mtu...me
nashukuru najielewa siki nyingi....najistiri kwa maana ya kujistiri
hasa....

Ila nawashangaa wanaume wa humu manake kuna siku walituponda sana
tunaovaa hijabs...sasa leo tena wanawaponda wanaotembea nusu
uchi...nashangaa wanataka nini hasa....
 
Project nzuri mkuu, hakikisha unatembeza sumu mashuleni na hata makanisani ikibidi, maana siku hizi mtu anaenda kanisani kama anaenda bar.

Zamani dada zetu walikuwa hawavai hata t-shirt kwenda kanisani, ila siku hizi unakuta mdada kavaa t-shirt imeandikwa mstari ambao ukiusoma ndio shetani anakuwa ameshakushika tena.

Walio wengi hasa vijaNA
Sio kosa lao,HAWAJAFUNDISHWA
Ndio Maana nimeanzisha taasisi ya Adili Tanzania ili kutoa elimu hiyo ,
Tovuti haijawa tayari kwa sasa tembelea ukurasa wangu wa facebook Adili Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom