Hizo pesa mlizotumia kuna na kufanya mikutano ingeweza kusaidia wananchi, Sasa mikutano ya kisiasa wakati watu hawana semu za kulala.

Badala ya kuona mahema, vyakula tunaona watu wamependeza wanakuja na magari ya VX , mashati ya vijani watu wa kawaida wanajali maisha yao ya kila kitu badala ya kulazimisha siasa kwenye mambo kama haya.

Jeshi kuu liko Mondoli tu lakini jeshi hatuoni linafanya nini hasa badala media imekalia siasa tele. Aibu kubwa sana kwa Raisi Samia na viongozi wako wa kisiasa.



View: https://www.youtube.com/live/xrxEdRgzROs?si=uSqanhbdrEJD0BdN
 
Viongozi wanaenda kuonyesha umoja na wananchi kusaidia au kuaccelerate uokoaji hata kama hawafanyi wao na kuonyesha ukubwa wa jambo hili. Huduma pia zinatolewa kwa wa2 ikiwemo chakula kwa waliothirika na waokoaji ni bure
 
Viongozi wameenda waoneshe janga lililopo Tanzania ni kubwa hivyo kupata mkopo kutoka nje kirahisi kwa ajili ya kusaidia mahafali yaliyotokea ila swali je zitatumika kiuhalali au ndo kulipa viongozi tu ambao hawajaathirika kwamba wao ndo wamefanya zipatikane. Kila mtu ale kwa urefu wa kambak yake
 
Janga limekuja wakati muafaka maana muda wa udanganyifu umekaribia ili muwape tena uongozi waendelee kula!
 
Back
Top Bottom