Awae, haika san! Wandu wose wangekuwa kama wewe ama hakika mentor ningekuwa nakaribia sana kuingia chamani...nimeanza kupatamani sasa!
Swadakta, nitafute ujue vyote, na zaidi!!!
( Mr Rocky, jifanye hujaona hapa)
Hapo juu sijaona kabisa Mentor nimevaa miwani ya mbao
Aise lutafutane mambo yakiwa mazuri aise hiyo ni ahadi Mentor na usiache kuniambia bana
Last edited by a moderator: