miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Nabii ODM nahitaji maombezi hali yangu si shwari....
usijali mpenzi tutazidi kukuombea
Nabii ODM nahitaji maombezi hali yangu si shwari....
Heaven on Earth miss u,.... how u doing ma dear? God is good..
usijali mpenzi tutazidi kukuombea
Valentina ashaanza kuona nyota nyota na kuhisi kihindi hindi ndo maana inakuwa ngumu sana kwake kusimamia kondoo wake
Good is good all the time........wale wakora walidhani ule ndio ungekuwa mwisho wangu nyambaf zao
ila am back nimepata shem mpya au list ni bado ya wale wale
Ndi maana nakupenda best wangu wa ukwee
Natafuta siku maalum nimfanyie maombi ya nguvu. Tena nitenge masaa tisa kabisa yaliyoshiba,huduma zingine kwa siku hiyo zitasimama.
Umbea utakuua ......!!!!!!!!!!
Mie si viparoko uchwara, mi ni mtume na nabii. Utakapokuja kwenye upako hakikisha unakuja without.
vingine inabidi uache vikupite tu........
Nafunika kombe mie baba Kijacho
mumeo ana hii taarifa!!!!!!!!
Shhhhhh,,,yaishie humuhumu plz
hahaaa Mama kijacho anauliza utarudi saa ngapi...........
Ndio nataka nirudi mda huu mama kijacho
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani basi tu ...........!!!!!!!
Leo kazi haziendi kabisa........
Sijui nikalale????
Damn ...........!!!!!!