Huu upweke huu

Huu upweke huu

tatizo lako Eiyer unahold negative attitude against women na una msimamo mkali dhidi ya masuala ya ndoa iko siku utauona ukweli kwenye mwanga mweupe mkuuna utapata wa kukuondolea upweke
Afadhali umemwambia hili sijui amekuelewa
 
Ablessed huyu Eiyer atabadilika tuu hajawahi kukutana na maneno yenye kuchoma kuhusu ndoa
Mbona wapo wengi tuu ndoa zao zina furaha na amani
tatizo yeye ana misimamo yake hataki kubadilika na anawaona wanawake wote ni pasua kichwa na ndoa ni balaa kila siku
 
Last edited by a moderator:
Ina maana ushamsainisha?

HAlafu wewe Nicas Mtei nina kesi na wewe No yangu kwenye simu yako sio mapambo kama huioni vaa mawani ya mao uwe unaiona au kama haina maana kwako uiondoe kwenye simu yako uifanye kitu inaitwa DELETE
 
Niaje kaka Mkubwa? Ni matumaini yangu kuwa wote hawajambo kabisa home
 
Last edited by a moderator:
Ablessed pale parokiani maombi ni 24/7
hata asiponikuta mie kuna watumishi wengine tuu
Sasa kazi kwake , Eiyer unaitwa kwenye mkesha huko ukatoe upweke maana si vema kukaa peke yako ilihali kuna sehemu waweza piga pambio mpaka kunakucha. usisahau kwenda na dawa ya mbu si unajua malaria haichezi mbali.
 
Last edited by a moderator:
HAlafu wewe Nicas Mtei nina kesi na wewe No yangu kwenye simu yako sio mapambo kama huioni vaa mawani ya mao uwe unaiona au kama haina maana kwako uiondoe kwenye simu yako uifanye kitu inaitwa DELETE

Natamani sana ningekuwa nayo kaka. Majanga yaliyonikuta basi huna budi kunisamehe bure kaka. Ila mimi nawe udugu wetu hauwezi kwisha
 
Last edited by a moderator:
Ablessed huyu Eiyer atabadilika tuu hajawahi kukutana na maneno yenye kuchoma kuhusu ndoa
Mbona wapo wengi tuu ndoa zao zina furaha na amani
tatizo yeye ana misimamo yake hataki kubadilika na anawaona wanawake wote ni pasua kichwa na ndoa ni balaa kila siku
Kweli kabisa akikutana na ubavu wake maneno yote yataisha aisee. Hapo ndipo penye shida wanaume wanaona wanawake pasua kichwa na wanawake wana mtazamo huo huo sijui kama hawa vijana watafika waendako wakati mwingine inafaa kujilipua tu liwalo na liwe lkn at your own risk.
 
Natamani sana ningekuwa nayo kaka. Majanga yaliyonikuta basi huna budi kunisamehe bure kaka. Ila mimi nawe udugu wetu hauwezi kwisha

Mungu yu mwema kaka. Salamu zangu ziwafikie wote.

We kila siku ni majanga
Au ushageukia kwa akina Alshababb kila siku unatafutwa mtaani
Zimefika aise na wewe wasalimie sana huko
nenda Pale Mwembeni nitumie ujumbe nikutumie
 
Back
Top Bottom