Huu upweke huu

Huu upweke huu

Ablessed huyu Eiyer atabadilika tuu hajawahi kukutana na maneno yenye kuchoma kuhusu ndoa
Mbona wapo wengi tuu ndoa zao zina furaha na amani
tatizo yeye ana misimamo yake hataki kubadilika na anawaona wanawake wote ni pasua kichwa na ndoa ni balaa kila siku

Mukulu tayari nimeshayaelewa haya mambo ...........
Nafanya ukaguzi na soon nitwahabarisha nani anachukua nafasi!!!!!!
 
Ni kweli kabisa haya uliyoandika manake upendo wa kweli hufunika yote hasa mapungufu yetu kama vitabu vya dini vinavyozungumza juu ya upendo Yaani upendo haujivuni , hautafuti mambo yake na palipo na pendo kuna kuheshimiana, kujaliana bahati mbaya wengi hawaamini kama upendo wa kweli bado unaexist. Jambo la msingi ni kumwendea muumba na kumweleza haja ya moyo wako.

cc Eiyer

Noted .....!!!!!!
 
Back
Top Bottom