Huu upweke huu

Huu upweke huu

Kweli kabisa akikutana na ubavu wake maneno yote yataisha aisee. Hapo ndipo penye shida wanaume wanaona wanawake pasua kichwa na wanawake wana mtazamo huo huo sijui kama hawa vijana watafika waendako wakati mwingine inafaa kujilipua tu liwalo na liwe lkn at your own risk.

Inavyoelekea kila akikutana na mtu inakuwa ni majanga ni shidaa na hajawahi kukutana na true love kutoka kwa hao wanaomwambia wanampenda na ndo maana amekuwa na hizo attitude za kuwachukia kila mara
Muhimu ni kumpata mtu ambaye ana real love na anajua thamani ya pendo lako kwake na anayejua nini maana ya kupenda na nini maana ya kuumizwa kwenye mapenzi
Ndoa ni nzuri sana pale unapompata yule ambaye mnasikilizana na mnaelewana na yule ambaye yuko tayari msolve matatizo yenu kabla giza halijaingia na ambaye ana hofu ya Mungu ndani yake
Ndoa sio ngumu kihivyo na vijana wanaogopa kwa kuwa wanayoyasikia kutoka kwa watu kama Eiyer ni mabaya tuu kuhusu ndoa na hawajawahi sikia another side of the story kuwa ndoa ikoje
 
Last edited by a moderator:

Unajua kaka wengi hawataki kusikia huo upande wa pili hata ukiwaambia hawaamini wanafikiri unawadanganya kumbe si kweli. Shetani kawatia upofu na kuwafunulia negative side only. Yapo makosa ya msingi mengi unaweza kuyaona unapoamua kuzichunguza hizo ndoa zilizo fail ingawa si zote. Huyu Mungu ninayemuamini najua hajabadilika hivyo wampe nafac yeye atatenda tu. Na wengi wanaamini ukimpata mtu ni lazima awe kama malaika ie asiwe na mapungufu hata kidogo wanasahau Upendo wa kweli hufunika yote na unakuwezesha kuchukuliana.
 
We kila siku ni majanga
Au ushageukia kwa akina Alshababb kila siku unatafutwa mtaani
Zimefika aise na wewe wasalimie sana huko
nenda Pale Mwembeni nitumie ujumbe nikutumie

Kaka we acha tu. Ila kwa sasa mambo sio mabaya kwa kweli. Ngoja nifanye mchakato
 
Unajua kaka wengi hawataki kusikia huo upande wa pili hata ukiwaambia hawaamini wanafikiri unawadanganya kumbe si kweli. Shetani kawatia upofu na kuwafunulia negative side only. Yapo makosa ya msingi mengi unaweza kuyaona unapoamua kuzichunguza hizo ndoa zilizo fail ingawa si zote. Huyu Mungu ninayemuamini najua hajabadilika hivyo wampe nafac yeye atatenda tu. Na wengi wanaamini ukimpata mtu ni lazima awe kama malaika ie asiwe na mapungufu hata kidogo wanasahau Upendo wa kweli hufunika yote na unakuwezesha kuchukuliana.

Hilo ni tatizo kubwa sana na wanaposoma kwenye magazeti ya udaku mke wa fulani kafumaniwa au mume wa fulani kakamatwa kwenye nyumba ndogo na wakija kwenye mitandao ni malalamiko tuu ya ndoa imekuwa hivi na ndoa imekuwa vile hakuna story hata moja ya kuisifu ndoa lazima wakate tamaa na waone ndoa zote ziko hivyo. Kumbe hakuna kuna maisha ya ndoa ambayo ni raha na yana furaha baina ya wanandoa wawili na familia zao
Hakuna atakayeoa mtu ambaye ni kama malaika hana mapungufu ila mkishaingia kwenye ndoa hayo mapungufu yenu mnayaweka pembeni au mnayabeba kwa pamoja na kusaidiana kuyafunika yasionekane ndio maana ya upendo ila kila siku ukichukulia mwenzako ni mbaya au ana mapungufu haya na haya ni lazima utaishia kutompenda na utawaona hao wa nje ndo wazuri kumbe wale nao wanatafuta sana hiyo hiyo nafasi wakukamate na wakufaidi. Mungu akiwepo kati yenu hakuna litakaloshindikana
 
Kaka we acha tu. Ila kwa sasa mambo sio mabaya kwa kweli. Ngoja nifanye mchakato

tatizo hujatulia unaruka ruka kama pia ndo maana yanakupata hayo
angalia bana usije kuwa member wa akina alshabab tukakukosa
 
Hahahaahah kwa kweli sasa mambo sio kama zamani. Huko kwa hao jamaa sitafika abadani
 
Mkuu Mentor nuore isanduku limwi la bia siku yoo uanza iramia shikao sha ialika
Hapo pazuri sana mkuu

Awae, haika san! Wandu wose wangekuwa kama wewe ama hakika mentor ningekuwa nakaribia sana kuingia chamani...nimeanza kupatamani sasa!

Mzigo gani? Na unatoka wapi?

Swadakta, nitafute ujue vyote, na zaidi!!!

( Mr Rocky, jifanye hujaona hapa)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom