My dearest sis mimi 49 is lonely too? Aisee fanya mpango....!!I can feel you,Pole kwako na kwangu!
wa nini?My dearest sis mimi 49 is lonely too? Aisee fanya mpango....!!
Hahaha, si kama nafurahia!!! Imetokea tuu, wapo wengi wanahitaji kusitiriwa, make a choice kakaWa kiutu uzima .........!!!!!!!!
Mpango wa kuondokana na upweke jamaniwa nini?
ndo upoje huo....Mpango wa kuondokana na upweke jamani
Mkuu chaguo toka miongoni mwa wanaokuvutia. Nategemea si swali la kichokozi,Miongoni mwa akina nani??
Hapa jee???
![]()
Ok hapa baba paroko anaweza kutiririka zaidi kwa kuwa ni mzoefu wa mawaidha ktk nyanja tofauti ngoja aje kunisaidia na na ya kukurudishia furaha ya moyo wako ili 2014 iende poa, usione ya kashindwa yake ukamchukulia poa, mganga hajigangi we msikilize,ndo upoje huo....
Aiseeeeeee!!!!!!!!!
Njoo kwangu upate tulizo
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani basi tu ...........!!!!!!!
Leo kazi haziendi kabisa........
Sijui nikalale????
Damn ...........!!!!!!
Huyo hawezi kukuitikia nilikuwa nae kwenye maombi kachokajeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ngoja nikupigie unielekeze maana umehama kule nilikokuwa nakujua
Namba yako si ile ile ??
Mi naijua hii 0711 883 776
Au umeshabadili??
pole, kwani bado upweke hujaisha tu? hukutoka tena na Heaven on Earth mana alikuwa anatakiwa apate mazoezi madogo madogoDah!
Jana luku iliisha vipi ahadi bado ipo??