Jchris14
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 1,152
- 2,688
Ndugu zangu kwema?
Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi?
Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye connecting mode tu hata kwa dakika mbili bila hata kuita.
Ukijaribu kutumia M-Pesa Menu ya kawaida yaani 150*00# simu inazunguka mwisho wa muda inakuandikia "USSD connection failed.
Kuhusu kutumia Internet na yenyewe changamoto tu, unawasha data inakuwa on, then baada ya dakika kadhaa inaji-switch off yenyewe. Kwa ufupi changamoto sana.
Tatizo ni nini wakuu?