Walinilemba angu??
Ale kinehe o sista?
Dah!!!!!!!!!!!!
Bhe bhe ....
kwani sista ale hale???
ukipata wawili niachie mmojaHiyo sifanyi na napata "dem",we subiria tu ....lol!!
usiogopeHahaha.....sawaa...wacha tuishie hapo...ntajichanganya buree
Amekwisha potea..amekwisha potea....apotea mtoto mzuri kwa ku... (crying)
Babu mentor ni kaka angu kabisa....umemfanya nin adi anashindwa kuongea???
Unasema????
Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari...........:lalala::lalala:😛layball:😛layball::focus:
Kuoa nitaoa na sio kwamba sitaoa au naogopa
Hapana
Nahitaji anaefaa kwa kiasi kwa sababu najua hakuna anaefaa kabisa yaani hakuna anaefaa kwa 100% ....!!!!
Sio kila anaefaa kiasi ananifaa .......!!!