mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,862
- 836
Kenge manyoya 😀Hana jipya huyo kenge kama kenge wengine tu
Kenge manyoya 😀Hana jipya huyo kenge kama kenge wengine tu
Kalale babuuCCM Imepoteza uhalali wa kuitwa chama cha wananchi ,jana wamwonesha rangi zao halisi kabisa
Jana niliwaambia kuwa leo ataibuka , nadhani sote tumeshuhudia akiendelea kutema sumu .
Wazee siraha za akiba huwa hazitumiwi mwanzoni , vita bado mbichi hii ,nyie tulieni
Mama Must Go
Kama Chadema ,polepole , umebakiza ccm yaani kila mmoja hana dili lakuendeleza taifa mf. Huyu mbunge wa meru alikuwa chadema kapata tu uongozi basi . Hajasaidia lolote wananchi wameru waliimpigania kwa hali na mali sasa kahamia ccm linafiki lile so wote sio wapigania haki nawachumia matumbo yaoHebu niwekee list yao hapa nione