BLUE DOG
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 971
- 1,547
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia
Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.
Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe
Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze