Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

Jana michawa yote ya humu JF iliufyata mkia hatukusia pledges zao hata mia, kazi kusifia tuu humu, watu wenye chama chao ndo wale sasa
Yeah, ndo inavyokuwa kwani wewe umewahi hata kugusa katone kamoja?!!!
 
Hayati Bernad Membe alionywa na Pengo!!ikawa RIP!

Sasa kama pole pole nae anaonya akitokea Kule ambapo hawezi kamatwa!Basi onyo lake ni kuu!has linapoambatana na maombi ya TEC kama ilivyoainishwa na hao maaskofu !!

ACHA tuendelee na speculative but possible!!
Membe alionywa akawa mkaidi Pascal Mayalla alimuonya Sana Mbombezi kilichobaki ni Istoria
 
Jana michawa yote ya humu JF iliufyata mkia hatukusia pledges zao hata mia, kazi kusifia tuu humu, watu wenye chama chao ndo wale sasa
CCM Imepoteza uhalali wa kuitwa chama cha wananchi ,jana wamwonesha rangi zao halisi kabisa
 
Kuzidi wewe mkuu?
Mwongo tu hana sera za maana makenge kama haya nikurudishwa mtoni tu wakae na mamba tu mnafiki ukimsikiliza hana hoja ya maana huo mtandao anao usemea hawataji hata siku moja
 
sa100.jpg
 
Alidhani ccm ni chama,kumbe ni genge la wahuni linalolindwa na dola,its too late
 
Atakuwa salama tu maana taarifa ya kusikitika kutangaza huwaga haichelewi kutolewa
 
Kuna ile unaupiga mwingi mpaka dakika zinaongezwa na ukajua umeshinda mara ghafla Diara akasogea akaliacha mbali langu unaachiwa mkwaju mmoja katikati ya uwanja unajitahidi kuruka wapi kitu ndani 😂😂😂 soon tu hapa
 
Wasiojulikana ni kama oxygen, wapo mahali popote. Huenda polepole keshainasa hiyo hewa.
 
Jana niliwaambia kuwa leo ataibuka , nadhani sote tumeshuhudia akiendelea kutema sumu .

Wazee siraha za akiba huwa hazitumiwi mwanzoni , vita bado mbichi hii ,nyie tulieni

Mama Must Go
 
Back
Top Bottom