Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

Inawezekana script aliopewa acheze imeishia njiani kama Gwajima josephat Askofu!!!

"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!

Kama muonywaji amevuka mstari hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kudra za mwenyezimungu!!
 
Eeeeeh, Wosia wa Comrade POLEPOLE haujaheshimiwa, Wahuni we acha tuu
 
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia

Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.

Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe

Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Polepole ni puppet!!
 
Acheni mchezo nyie ,jamaa anawajua kuliko wanavyojijua wenyewe .

Kesho tutakuwa nae hewani japo mkimbizano ulikuwa mkali
Afadhali, Niko hapa namsubiria Sema wale jamaa wa mitandao pale Ubungo huwa wanazingua sana bana
 
"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!

Eeeeeh, Wosia wa Comrade POLEPOLE haujaheshimiwa, Wahuni we acha tuu
Hayati Bernad Membe alionywa na Pengo!!ikawa RIP!

Sasa kama pole pole nae anaonya akitokea Kule ambapo hawezi kamatwa!Basi onyo lake ni kuu!has linapoambatana na maombi ya TEC kama ilivyoainishwa na hao maaskofu !!

ACHA tuendelee na speculative but possible!!
 
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia

Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.

Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe

Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Huyu asiwahangaishe. Wanajuana na namna wanavyotengeneza zwenge kutupiga changa la mato
 
Inawezekana script aliopewa acheze imeishia njiani kama Gwajima josephat Askofu!!!

"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!

Kama muonywaji amevuka mstari hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kudra za mwenyezimungu!!
Anguko la CCM 1995-2025.✍️📌
 
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia

Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.

Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe

Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Na huyo wakimpata wanammaliza kimya kimya na kwa vile hatujui alipo basi watapita nae kama kipanga bila ushahidi.wahuni wameshika hatam
 
CHAMA kimetekwa nanwahuni wacha hawa wajinga wajinga wajifanye wanaijua CCM Kuliko wenye nayo walio onekana jana
Jana michawa yote ya humu JF iliufyata mkia hatukusia pledges zao hata mia, kazi kusifia tuu humu, watu wenye chama chao ndo wale sasa
 
Back
Top Bottom