ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,546
- 46,053
- Thread starter
- #161
Weeee safiiii kabisa🔥Hawana baya kabisa, walinipokea mara ya kwanza naingia mgodini.
Weeee safiiii kabisa🔥Hawana baya kabisa, walinipokea mara ya kwanza naingia mgodini.
Nilikuwa nafuatilia tu conv yako na huyo mdau basi ikanipa raha tuErtugrul Bey unacheka nini 😅😅
Eeh wewe unapata raha kwa conv za wadau 😅 tutakufatiliaNilikuwa nafuatilia tu conv yako na huyo mdau basi ikanipa raha tu
Mi mwenyewe mfuatiliaji kwahiyo tutafuatiliana tuEeh wewe unapata raha kwa conv za wadau 😅 tutakufatilia
😅😅 utarusha tauroMi mwenyewe mfuatiliaji kwahiyo tutafuatiliana tu
Nilishindwa kumezaShesRise_1 moja ya conv yenu ni kwamba wote mlipigwa na wajanja wa mjini, ulijisikiaje baada ya kujua umeingizwa mjini
Nacheka utafikiri mazuri,pole sana aiseeNilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema 😢😢💔
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea
Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
Hapo kuna mawili inaweza kuwa chai ya jioni au laaNilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema 😢😢💔
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea
Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
Sasa naachaje burudani hii ya "UTAMU KUNOGA" 🤣😂Mpka miaka 60 mbona mbali 😅
Sasa hapo utakua umestaafu tena
Utakufa vibaya na kuhurumia😅😅Sasa naachaje burudani hii ya "UTAMU KUNOGA" 🤣😂
Ndio kukoje huko kufa kubaya.. 😂Utakufa vibaya na kuhurumia😅😅
Inzi kufia juu ya kidonda mbaya sana hiyoNdio kukoje huko kufa kubaya.. 😂
Ila mqanajeshi kufia vitani, ni ushujaa.. ni mtazamo tu, maji ya bomba hatunywi ila tunaoshea matunda na kuyala.Inzi kufia juu ya kidonda mbaya sana hiyo
Baaasiiii kuna nini tena😅Yaani nikianza kuelezea hapa kurasa zote za JF zitajaa.... Wewe ni wa kipekee (no one else like You)
Watu wa mtooooniii haoooo kina makaveli10 😅😅🙌🏼Ila mqanajeshi kufia vitani, ni ushujaa.. ni mtazamo tu, maji ya bomba hatunywi ila tunaoshea matunda na kuyala.
Baaasiiii kuna nini tena😅
Nimefika tegeta, ila nyuki ndio sijawaona.Watu wa mtooooniii haoooo kina makaveli10 😅😅🙌🏼