Human Nature

Human Nature

Attachments

  • file_000000008a548211897cb2c8d770a056.png
    file_000000008a548211897cb2c8d770a056.png
    1.7 MB · Views: 0
ShesRise_1 moja ya conv yenu ni kwamba wote mlipigwa na wajanja wa mjini, ulijisikiaje baada ya kujua umeingizwa mjini
Mkuu hiki kidonda hakijapona vizuri 😂😂😂

Huyo dogo nilimsaka nikamkamatia Gomzi, amejaa mashavu na kitambi kimemtoka. Anachomiliki ni bodaboda tuu😡😡😡💔

Kama sio Mungu ningekuwa segerea pale, maana nilitamani kumuua na ndicho nilikipanga akilini mwangu.

Katika milion 28.6 niliambulia milion 1.32 niliamua kusamehe tuu na kuanza upya.
 
Nilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema 😢😢💔
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea

Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
Ukiona namtaja Mungu mara nyingi bhasi jua nilimuona na bado nikaishi.

Hicho ndicho kilikua kipindi kigumu kwangu.

Nilikua nachana mbao njombe, Sasa huyo dogo akaja kuomba kibarua Cha kubeba mbao, nikampa kazi na dogo kazi aliiweza kweli.

Nilikua nachana misitu sehemu mbili tofauti hivyo ikanilazimu nipate mtu wa kunisaidia, Kitu kingine nilikua nimeshachoka sana maana nilikua porini miezi kama 9 pasipo kwenda mjini wala kuongea na watu wa mjini😂😂😂.

Nilipoanza kutoa mbao porini ndio nikamwambia dogo awe anaenda na gari kwa mtu ninayemuuzia ili awe anahesabia mbao reject(kuna mbao huwa zinavunjika wakati wa kumwaga) bhasi dogo ndio akaona fursa siku moja akamwambia yule dada boss amesema tufunge hesabu na Hela uweke kwenye hii account. Ndio nilipigwa kwa namna hiyo.
 
Mkuu hiki kidonda hakijapona vizuri 😂😂😂

Huyo dogo nilimsaka nikamkamatia Gomzi, amejaa mashavu na kitambi kimemtoka. Anachomiliki ni bodaboda tuu😡😡😡💔

Kama sio Mungu ningekuwa segerea pale, maana nilitamani kumuua na ndicho nilikipanga akilini mwangu.

Katika milion 28.6 niliambulia milion 1.32 niliamua kusamehe tuu na kuanza upya.
Pole sana mkuu, ila kikubwa ulijiepusha na balaa lingine la kesi ya mauji,hela huwa zinatafutwa tu
 
Ukiona namtaja Mungu mara nyingi bhasi jua nilimuona na bado nikaishi.

Hicho ndicho kilikua kipindi kigumu kwangu.

Nilikua nachana mbao njombe, Sasa huyo dogo akaja kuomba kibarua Cha kubeba mbao, nikampa kazi na dogo kazi aliiweza kweli.

Nilikua nachana misitu sehemu mbili tofauti hivyo ikanilazimu nipate mtu wa kunisaidia, Kitu kingine nilikua nimeshachoka sana maana nilikua porini miezi kama 9 pasipo kwenda mjini wala kuongea na watu wa mjini😂😂😂.

Nilipoanza kutoa mbao porini ndio nikamwambia dogo awe anaenda na gari kwa mtu ninayemuuzia ili awe anahesabia mbao reject(kuna mbao huwa zinavunjika wakati wa kumwaga) bhasi dogo ndio akaona fursa siku moja akamwambia yule dada boss amesema tufunge hesabu na Hela uweke kwenye hii account. Ndio nilipigwa kwa namna hiyo.
Aisee pole 😢
Ulipigwa parefu sana 💔
 
Mkuu hiki kidonda hakijapona vizuri 😂😂😂

Huyo dogo nilimsaka nikamkamatia Gomzi, amejaa mashavu na kitambi kimemtoka. Anachomiliki ni bodaboda tuu😡😡😡💔

Kama sio Mungu ningekuwa segerea pale, maana nilitamani kumuua na ndicho nilikipanga akilini mwangu.

Katika milion 28.6 niliambulia milion 1.32 niliamua kusamehe tuu na kuanza upya.
Watu hawana huruma uwiii 💔🙌🏼
 
Back
Top Bottom