Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Wakina nani walikuwa na lengo kupunguza idadi ya watu?

Kwa nini uzae watoto wastani ukiwa unaishi kwenye za kupanga, unatembeza maji na pipi stendi, unaendesha bodaboda, ni mwalimu, nesi au una ajira kwenye halmashauri ??
Wanajijua.
KUishi nyumba za kupanga ni mifumo.
Unaacha ardhi kijijini kuja kupanga town, umeacha kilimo, ufugaji na kuamua kuuza maji. Anyway kila kitu kina two sides.
 
Single mothers wengi zaidi ni wanawake wa mtaani wahudumu, wafanyabiashara ndogo ndogo, wasio na ajira n.k wala sio wa maofisini au corporate. Kwanza wanawake wa maofisini kwenye nchi hii ni wachache sane hata ukitaka kuchukulia walimu na manesi nao ni wanawake wa maofisini.

Pia sioni tatizo mwanamke mwenye kipato chake kizuri anayeweza kutunza mtoto akiwa single mother.
Halafu hawa walioanzia mitaani na kulea kwa tabu ndo wakizipata na mwanaume anachukiwa kabisa bora wale familia bora.
 
Hili ni tatizo la kitaifa kupuuzia huduma za afya ya uzazi na uzazi wa mpango kwa vijana, vijijini kila binti aliyefikisha miaka 18 sasa hivi kumkuta asiye na mtoto ni bahati. Serikali irudishe kwa kasi elimu za matumizi ya condom na njia nyingine za uzazi wa mpango pamoja na kutoa huduma hizi bure kwa wahitaji.
Iboreshe maisha ya wananchi wake uone kama single maza watakua wengi.
Wanaume wengi wanakimbia mimba hasa huko vijijini kwa kuogopa majukumu ya mtoto huku mfukoni apeche alolo
 
Majuzi hapo nipo nimeshuhudia Jamaa anagombezwa na mkewe mbele za watu kisa Jamaa kamkaripia mtoto wao aache vurugu watu hawataki kelele wamekwenda pale kupumzika na siyo kelele, mke kamgombeza mume wake amuache mtoto siyo vizuri blah blah, Jamaa ikabidi akae pembeni kinyonge Sana maana watu wote pale walibaki kuwapiga wao macho, Jamaa aliingia kwenye gari kinyonge Sana.
 
Iboreshe maisha ya wananchi wake uone kama single maza watakua wengi.
Wanaume wengi wanakimbia mimba hasa huko vijijini kwa kuogopa majukumu ya mtoto huku mfukoni apeche alolo
Ni kweli, single mothers pia inachangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya umasikini wa familia, ni nadra kukuta binti wa tajiri ni single mother.
 
Hali mbaya nilitoka mjini hapa na kusafir, nilikuwa na mahusiano na mabinti wa 3 tofaut

Niliona mwenendo wao na mimi ni wa mkakati basi kipindi nasafiri kila mmoja kwa wakati wake nilimwambia aendelee na maisha yake sitak tena mahusiano na wao.. hii ni kwa ajili ya kuona walikuwa na mimi kimkakato

So niliona naweza kuwahudumia nikiwa mbali alaf waka cheat nikabak na mawazo niendako huko, tukaachana

Nimekaa miaka mitatu huko, nilikuwa nasikia maendeleo yao na mahusiano yao , kurudi nimewakuta masingle maza wote wa 3 , inasikitisha mmoja baba mtoto hamtak mtoto kabsa na haudumii mmoja baba mtoto anatoa huduma vizur, mwengine baba mtoto anasua sua ila anahudumia kimchongo

Single maza ni wengi sanaa hapa mjini, kila mtu nawakat wake nilikaa nao chini kwa story tu , walinilaumu kwa kuwaacha, kila mtu na wakat wake kumbuka

Niliwaambia kama kweli ungekuwa mkweli ningekukuta umejitunza

Nilijipigia tu kila mmoja kwa wakati wake nikaachana nao nikiwamis nafanya hivyo hivyo ila kwa uangalifu mkubwa sana nisiwape ujauzito nikapata mizigo miwili miwili
Aisee.
 
Kumbe mmeongea weee na bado hali inaongezeka!! Nikajua kelele zenu zimesaidia kuleta mabadiliko🤔🤔

Basi sawa.
 
Iboreshe maisha ya wananchi wake uone kama single maza watakua wengi.
Wanaume wengi wanakimbia mimba hasa huko vijijini kwa kuogopa majukumu ya mtoto huku mfukoni apeche alolo
Mbona huko tunakosema mataifa wameendelea nako u single mother umetamalaki.
 
Back
Top Bottom