Kenya umefika kujionea mambo?Niambie nchi gani iliyoendelea yenye single maza wengi under 25
Huko mtu anakua single maza akiwa na miaka 30+ tena anaamua mwenyewe wengine wanaenda kununua mbegu za mwanaume hospital.
Kenya umefika kujionea mambo?Niambie nchi gani iliyoendelea yenye single maza wengi under 25
Huko mtu anakua single maza akiwa na miaka 30+ tena anaamua mwenyewe wengine wanaenda kununua mbegu za mwanaume hospital.
Kumbe Kenya ni nchi iliyoendelea🙆Kenya umefika kujionea mambo?
Utakapojikuta step father kwa kifaranga the generation goes on and onSasa kama kifaranga kina makebo, ugonjwa wa step father Kwann Jamaa asipite nayo 😂
Wanaoita wenzao SIMP ni watu wasiojiamini na wana inferiority complex kwa wanawake... kimsingi ni wanaume dhaifu.Hii utaambiwa wee ni Simp, wee subiri uone hapa. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]Majuzi hapo nipo nimeshuhudia Jamaa anagombezwa na mkewe mbele za watu kisa Jamaa kamkaripia mtoto wao aache vurugu watu hawataki kelele wamekwenda pale kupumzika na siyo kelele, mke kamgombeza mume wake amuache mtoto siyo vizuri blah blah, Jamaa ikabidi akae pembeni kinyonge Sana maana watu wote pale walibaki kuwapiga wao macho, Jamaa aliingia kwenye gari kinyonge Sana.
Noumaaa!!hatari [emoji16]
Swadaktaaa!!Wanaoita wenzao SIMP ni watu wasiojiamini na wana inferiority complex kwa wanawake... kimsingi ni wanaume dhaifu.
Wewe kama wewe unapenda kuolewa na kuzaa watoto walau 5 na kuendelea?Ila sometimes hata hao wanawake wako wrong, una muacha mzazi mwenzio, unakua single ili kulea kibenteni na king'asti hii nini sasa? Lol
Hapanaa, 3 wanatosha sana, TM.Wewe kama wewe unapenda kuolewa na kuzaa watoto walau 5 na kuendelea?
HawajazalishwaHuko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz”
Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe.
Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu.
Je tatizi hilo ni lipi?
BtwFeminist na pesa inawafanya wajioni wanaume watawabana,acha mkuu tuwazalishe,usiwashtue.
Bado kuna Bottoms hapo hapo ktk hao wanaume, [emoji23][emoji23][emoji23]Btw
Mtawaoa wote?
Maana wanaume wachache, hamtoshi jmn
au nasema uongo??[emoji41]
Si ndo hapo🤣🤣🤣Bado kuna Bottoms hapo hapo ktk hao wanaume, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani shida tupuu.Si ndo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]