Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Tatizo hili ni la jamii nzima, mitindo ya maisha ya mahusiano ya kindoa imebadilika sana. Yale maisha ya wanandoa kuishi pamoja katika raha na shida, kuvumiliana hayapo tena. Suala la ajira kwa wanawake nalo limekuwa pasua kichwa kwa wanaume wenye ndoa, wanawake wenye ajira ni wajuaji na hawaambiliki, hawana utii kwa waume zao, ni jeuri
 
Huwa nashangaa sana,wanaume kila siku tunashadadia hii mada..kwani kuwa single maza ni kosa? Mbona wapo wengi wameolewa na wanaishi kwenye hizo ndoa kama wapo jehanamu...
Na hawajaanza leo! Kuna watu huko nyuma wana ndoa tano tano sembuse mtu kajizalia zake mtoto mmoja kaamua kufata yake! Kuna wanaume kama mabinti aisee! Yani sijui namuonaje mwanaume ambaye nayeye anakaa kibarazani kuongelea wanawake ka_fala hivi🤔
 
Kuzaa sio dhambi..ni jukumu la Kila mwanamke.unabaki uamuzi wake tu.
Kulea mtoto mwenyewe factors zipo nyingi zilizosababisha wakatengana.

Wakati mkikazana kuwasinmanga wanawake kwanini wanalea wenyewe,tumieni pia energy hiyohiyo kuwajadili wanaume wenzenu kwanini wanatungisha mimba Kisha kukwepa majukumu.hakuna baba mwenye akili timamu anaekataa damu yake na kuitelekeza.wanaume timamu wameumbiwa akili za kuyakabili majukumu.hata mwanamke awe mbaya vipi
Natumai mtapata jibu.
Kuzaa sio jukumu la kila mwanamke, ni uamuzi wa wale wanaotaka kuzaa.
 
Hili ni tatizo la kitaifa kupuuzia huduma za afya ya uzazi na uzazi wa mpango kwa vijana, vijijini kila binti aliyefikisha miaka 18 sasa hivi kumkuta asiye na mtoto ni bahati. Serikali irudishe kwa kasi elimu za matumizi ya condom na njia nyingine za uzazi wa mpango pamoja na kutoa huduma hizi bure kwa wahitaji.
 
Tatizo hili ni la jamii nzima, mitindo ya maisha ya mahusiano ya kindoa imebadilika sana. Yale maisha ya wanandoa kuishi pamoja katika raha na shida, kuvumiliana hayapo tena. Suala la ajira kwa wanawake nalo limekuwa pasua kichwa kwa wanaume wenye ndoa, wanawake wenye ajira ni wajuaji na hawaambiliki, hawana utii kwa waume zao, ni jeuri
Pamoja na kubadilika kwa mtindo wa maisha mimi nafikiri pia ni kwa sababu ya umasikini wa vijana na kupuuzwa kwa elimu ya uzazi wa mpango na huduma za afya ya mpango.
 
Kuzaa sio jukumu la kila mwanamke, ni uamuzi wa wale wanaotaka kuzaa.
Nimesema ni jukumu kilichobaku ni uamuzi wake.
Soma Tena

Ni jukumu.kama sio jukumu hii mifuko ya uzazi tuliumbiwa Kwa ajili ya Nini?
Kilichobaki ni uamuzi.
 
Back
Top Bottom