Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

FD7C1E96-5AE8-4A3D-88A2-F44D0C5969E2.jpeg

Mnyooshwe tu bwana!
 
Kuzaa sio dhambi..ni jukumu la Kila mwanamke.unabaki uamuzi wake tu.
Kulea mtoto mwenyewe factors zipo nyingi zilizosababisha wakatengana.

Wakati mkikazana kuwasinmanga wanawake kwanini wanalea wenyewe,tumieni pia energy hiyohiyo kuwajadili wanaume wenzenu kwanini wanatungisha mimba Kisha kukwepa majukumu.hakuna baba mwenye akili timamu anaekataa damu yake na kuitelekeza.wanaume timamu wameumbiwa akili za kuyakabili majukumu.hata mwanamke awe mbaya vipi
Natumai mtapata jibu.
Lakini mwanamke ndie muamuzi mkuu linapokuja suala la kushika mimba. Kwann abebe mimba wakati mwanaume mwenyewe haeleweki au hajamuoa rasmi
 
Kwanini tusichukue muda kutafakari kwanini watu wanakimbia damu zao badala ya kuwanyooshea vidole dada zetu? Mimi naona kama mtu hayuko tayari kisaikolojia kuishi na mwanamke apige tu nyeto kuliko kusababisha matatizo na kukimbia. Mwanaume yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa mwanamke yeyote kuishi naye inahitaji akili na busara za hali ya juu.. anapoongezeka mtoto majukumu nayo huongezeka. Watoto wana gharama ndogondogo za kushtukiza tangia wakiwa tumboni. Huko tuendako watabaki wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na wanawake kwa hali ilivyo.
 
Hali mbaya nilitoka mjini hapa na kusafir, nilikuwa na mahusiano na mabinti wa 3 tofaut

Niliona mwenendo wao na mimi ni wa mkakati basi kipindi nasafiri kila mmoja kwa wakati wake nilimwambia aendelee na maisha yake sitak tena mahusiano na wao.. hii ni kwa ajili ya kuona walikuwa na mimi kimkakato

So niliona naweza kuwahudumia nikiwa mbali alaf waka cheat nikabak na mawazo niendako huko, tukaachana

Nimekaa miaka mitatu huko, nilikuwa nasikia maendeleo yao na mahusiano yao , kurudi nimewakuta masingle maza wote wa 3 , inasikitisha mmoja baba mtoto hamtak mtoto kabsa na haudumii mmoja baba mtoto anatoa huduma vizur, mwengine baba mtoto anasua sua ila anahudumia kimchongo

Single maza ni wengi sanaa hapa mjini, kila mtu nawakat wake nilikaa nao chini kwa story tu , walinilaumu kwa kuwaacha, kila mtu na wakat wake kumbuka

Niliwaambia kama kweli ungekuwa mkweli ningekukuta umejitunza

Nilijipigia tu kila mmoja kwa wakati wake nikaachana nao nikiwamis nafanya hivyo hivyo ila kwa uangalifu mkubwa sana nisiwape ujauzito nikapata mizigo miwili miwili
 
Sema wanaume tupunguze insecurities jamani, kujiamini kuna raha zake.
 
Naona ni baada ya kile kikao chao cha Beijing ndio matunda yenyewe. Walikuwa na lengo lakupunguza idadi ya watu kwa kuvunja unit kuu ambayo ni familia. Back in the day mama walizaa watoto 5+ sasa ni wawili au mmoja, mama akifikiria malezi hatamani kuongeza mtoto.
Anyway nadhani hii haijatokea bahati mbaya. Family ni kitu chema (nuclear family) mtoto anakuwa na malezi balanced imagine single mama anamlea mtoto wakiume peke yake mtoto kunakitu tu ata-miss.
 
Huko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz”

Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe.

Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu.

Je tatizi hilo ni lipi?
Tatizo tunaliona sisi baadhi ya wanaume, sio wao ndo maana idadi yao inaongezeka. Nadhani ni wakati wa kutoka kwenye kichaka cha kuamini kuwa wanawake hawapendi kuwa single mother, kwamba wanapenda ndoa na majukumu ya kumlea mume. Ukute hawataki ni vile ni aibu tu kusema wazi.
 
Afya na elimu panatisha sana ila ni vile wanajitambua maana midume ya sasa hivi inapenda kulelewa au kusaidiwa majukumu ,sasa dada zetu wa upande huu wanaona cha kufia nini wacha atembee niishi maisha yangu sijakoseq kuzaliwa.

Hapo sijazungumzia wenzangu na mimi wa kota ,hao ni special kesi nitazungumza siku nyingine kama sijalewa na niko na nguvu zangu ili mtu akiniletea ngebe nimkate kiuno
Ila sometimes hata hao wanawake wako wrong, una muacha mzazi mwenzio, unakua single ili kulea kibenteni na king'asti hii nini sasa? Lol
 
Kuzaa sio dhambi..ni jukumu la Kila mwanamke.unabaki uamuzi wake tu.
Kulea mtoto mwenyewe factors zipo nyingi zilizosababisha wakatengana.

Wakati mkikazana kuwasinmanga wanawake kwanini wanalea wenyewe,tumieni pia energy hiyohiyo kuwajadili wanaume wenzenu kwanini wanatungisha mimba Kisha kukwepa majukumu.hakuna baba mwenye akili timamu anaekataa damu yake na kuitelekeza.wanaume timamu wameumbiwa akili za kuyakabili majukumu.hata mwanamke awe mbaya vipi
Natumai mtapata jibu.
Una hoja ya maana, ila inategemea pia.
 
Back
Top Bottom