cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,307
Hii utaambiwa wee ni Simp, wee subiri uone hapa. LolKwanini tusichukue muda kutafakari kwanini watu wanakimbia damu zao badala ya kuwanyooshea vidole dada zetu? Mimi naona kama mtu hayuko tayari kisaikolojia kuishi na mwanamke apige tu nyeto kuliko kusababisha matatizo na kukimbia. Mwanaume yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa mwanamke yeyote kuishi naye inahitaji akili na busara za hali ya juu.. anapoongezeka mtoto majukumu nayo huongezeka. Watoto wana gharama ndogondogo za kushtukiza tangia wakiwa tumboni. Huko tuendako watabaki wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na wanawake kwa hali ilivyo.