Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

Kusini kawajengea hospitali mpya za rufaa, hakuna mwanafunzi anaekosa jwenda shule, kawafungulia masoko ya korosho, mbaazi na ufuta au upo Afrika Kusini?
Kuna siku soko la korosho limewahi kufungwa? Bei za korosho kiukweli tangu samia aingie madarakani haijawahi kutokea mkulima kupata shiling 1800 mkononi ila wakati wa magufuli bei ilikuwa juu..na tukija upande wa hospital ya rufaa ni zaidi ya uhuni kwasababu bado mafuriko ya watu kwenda ndanda na nyangao yapo vilevile tafsiri yake ni kwamba huduma za hizo hospital ni duni
 
Umesahau mpaka zikawa zinaoza kwenye maghala?

Wabunge wa kusini walipiga kelele mpaka wengine wakatishiwa maisha.
 
Back
Top Bottom