Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

Amepoa sana Ndugai ipo siku atasema......ana wazee washauri wengi ...msikivu mgogo wa watu ila nae kuna wakati alijisahau madaraka matamu banaa
Kama unatumia ARVs lazima upoe tu, ukifurukuta tunakuzika tu chini ya futi 6. Muache Ndugai aendeleze dozi
 
Wakizuia tu asipate ARVs basi Ndugai anakuwa marehemu
Ila mkuu ogopa sana watu ambao hawana cha kupoteza.
Mara nyingi vita hizi za kisiasa huwa sio individuals, maana hufiki popote bali waweza kuwa kwenye kundi kubwa ila wewe ukawekwa mbele tuu na lazima uwe umejitoa kweli kweli kwa lolote

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Acheni kumpa nguvu kubwa asiyokuwa nayo bwana huyo. Nguvu hizo angehusishwa nazo Bashiru Ally, kidogo ningeliafiki. Hakuna kundi lililopo nyuma ya mtu mwoga kama Ndugai
 
Hi thread ni kama umeiba mawazo yangu. Nilikuwa niandike kwa title tofauti kidogo lakini mpaka sasa ninaona tatizo ni Ndugai tu. Mahakama ni kama vile imebadilika haraka. Jaji Kiongozi Feleshi tayari alishaongelea kuhusu Mahakama kugoma kunyongea watuhumiwa haki zao. Ndugai ndiyo anaendelea kubakia na mawenge ya Mwendazake - anakosea sana sana!
Wtz ni wapumbavu sana!

Ona haya matumaini hewa waliyoletewa watz
 
Acheni kumpa nguvu kubwa asiyokuwa nayo bwana huyo. Nguvu hizo angehusishwa nazo Bashiru Ally, kidogo ningeliafiki. Hakuna kundi lililopo nyuma ya mtu mwoga kama Ndugai
Hata Bashiru hakuwa wala hana nguvu yoyote, ingekuwa hivyo JK asingemfukuza kwenye kikao pale Lumumba siku zile wanajadili way forward ndani ya chama baada ya mwendazake...!
Nguvu alikuwa nayo mzee Mamvi na bado alikatwa kwenye ugombea...hakuna mwenye nguvu ndani ya CCM kumzidi mwenyekiti, watu waache uongo!
 
Huwa na shangaa sana eti mtu aahubiria umma kuwa mtu fulani ananguvu kumliko rais,urais ni taasisi,sio mtu mmoja,wenye uwezo wa kumtetemesha rais kwa Africa ni wanajeshi tu,sio mtu ndani ya chama au nje ya chama
 
Article za kufikirika tu hizi.

Adui wa Chief Hangaya ni Chief mwenyewe.

Anafanya maamuzi mabovu.

Sasa hao wawekezaji ambao kutwa anatembea kuwatafuta mpaka sasa tumepata faida gani kama Taifa ukiachana na kushuka kwa uchumi kila siku gharama za maisha kuwa juu na mateso makubwa kwa raia wa chini.

Wanaonufaika ni mafisadi ambayo amawageuza kama rafiki zake.

Kwa pamoja wanashiriki kutukandamiza.

Chief Hangaya must change aisee.
 
Ndugai ni mmoja wapo tu.

Wafaidika wote wa awamu ya 5 waliopigwa chini au kupunguziwa mirija, ni maadui wa awamu ya 6.
 
Back
Top Bottom