Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,131
- 35,173
Mama ameshagundua CCM kumejaa wajinga, wanafiki na mazezeta tupu.
Lisu ajiandae kurudi sasa aje awe mkuu wa wilayaAkionjeshwa uongizi serikalin uchaguzi unaofuata ni lazime aunge juhudi. Hii ni hatari sana kwa afya ya upinzani
Hakusema wapinzani tu kasema raia yeyote,kwani hata siasa za vyama ni kwa wachache.Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabafiliko yatakayoleta Umoja wa kitaifa.
Source TBC!
Tunakoelekea Mama ataipatia Tanzania Katiba Mpya. Trust Me
Haahaa lissu apewe uwanasheria mkuu wa serikali...Lisu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Hili halina shaka..mfano bunge limekuwa kituko.Mama ameshagundua CCM kumejaa wajinga, wanafiki na mazezeta tupu.
Kudadadeeeeeeki mataga mmekwishaMataga ntaambia nini watu mimi
Haahaa lissu apewe uwanasheria mkuu wa serikali...
Asante sana mama hii ndiyo aina ya viongozi tulikuwa tunawasubiri.Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Hapo sawa kabisa maana Kuna watu wengi wazuri kiutendaji ila hawapewi nafasi kisa tu itikadi za siasaRais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Hakika na leo hii ni siku mbaya sana kwa mataga.Makofi na Vigelegele kwa Mamaa!!! Tuijenge nchi yetu!
😆Kudadadeeeeeeki mataga mmekwisha