Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Mama Samia ni chaguo la Mungu, kama hutaki kukubali wewe sukuma gang kasage sumu unywe ufe uende zako jehenam.
 
Unazunguka sana, kutoka mambo ya maandamano ukaja mambo ya marking scheme sasa hii upo unafundisha maana ya social media.
Yap, ni Ili ujue uko kwenye platform tofauti na hizo ulizozea za kuogopana na kunyenyekeana.
 
Ninavyoona tunaelekea kwenye Serikali ya Mseto
Na Mungu akasaidie hilo maana CCM sioni mtu wakutekeleza vipaumbele(ilani) ya chama kwa wananchi. Majembe kama kina Lema yanahitajika kuitekeleza ilani kwa wananchi
 
Sioni jipya hapa.

JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Mkuu nakubaliana nawe kwa yote. Nadhani ili jambo hili liwe bora ni lazima liwekwe kwenye KATIBA. KATIBA ya Zanzibar inakipengele kinacho itambulisha Nchi hiyo kuwa ni ya MSETO hivyo hatuna budi kipengele hicho kiwepo kwenye KATIBA, kwamba mshindi wa PILI kwenye UCHAGUZI MKUU atakuwemo katika Serikali na atatoa Makamu wa Kwanza Rais na Mawaziri n.k. bila kuathiri vyama vyao. Utaratibu huu utapunguza matumizi mabaya ya fedha hasa kwenye kuunga mkono juhudi, rushwa na vifo kwenye chaguzi, uhasana n.k. Ni wakati sasa wa kupanua democrasia katika kuendesha Serikali kwa maendeleo ya NCHI.
Ngoja nimpe ushauri mwingine Mama Samia
Wale Wachumba 19 wa Mtemi wa Wagogo kule Mjengoni Maayo ni Aibu do Something.
Mkuu Imhotep, hao 19 wapo muhimili mwengine (Bunge), ni jukumu la BUNGE. Rais yeye ni muhimili mwengine wa SERIKALI na tatu ni MAHAKAMA. Hivyo si Serikali ama Mahakama ambaye anaweza kutatua suala la Covid19 katika hatua hiyo. Kwa sasa ni jukumu letu sisi WANAINCHI kulitafutia ufumbuzi wa kulitatua kwa kulipeleka Mahakamani ili Sheria ya HAKI ichukue mkondo wake. Kwa hali lilivyo sasa hivi sio suala Chama ni jukumu letu kuhoji usahihi wa matumizi ya KODI yetu. Tunahitaji mtu wa aina ya Mchugaji Mtikila.
 
Mkuu Imhotep, hao 19 wapo muhimili mwengine (Bunge), ni jukumu la BUNGE.
Kwa Nchi inayoheshimu na kufuata Katiba unayoyasema ni Sahihi ila kumbuka hao Cov19 wameingizwa kwa Shinikizo la Marehemu Raisi

Sasa Mama atumie Shinikizo na aonyeshe kuwa hapendezwi kwa Katiba kuchezewa na Mhimili wa Ndugai
 
Taja aliyeagiza polisi wanaolinda getini wasiwepo siku ya shambulizi. Ukijua aliyeagiza hilo umefunga ushahidi.
Hilo hawezi kukujibu mpaka siku Jiwe linafufuka kujibu mashtaka ya kutaka kumuua Tundu Lissu.
 
Lakini pia akumbuke kuna "wajumbe" wa CCM, akiwazingua sasa hivi nao pia watamzingua 2025!
Yeye mwache ajifanye kuteua hao "upinzani" sisi Waswahili tunasema, "usimdharau Mamba kabla hujavuka mto".
Wajumbe asilimia zaidi ya 90 wanamuunga mkono mama. Hawa wachache ni lile kundi la mwendazake wakina Bashiru hata hivyo hawana nguvu. Bashiru mtoto mdogo sana pale CCM ndio maana hata wamempiga chini na hana la kufanya.
 
Mbona magu aliteua wengi tu Kutoka upinzan na kuwapa nafasi mfano rc Kilimanjaro
Naibu katambi
Mwita wa itala na wengine wengi
 
Back
Top Bottom