Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,755
- 15,238
Safi kabisa kama akina Mghwira, Silinde ,Katambi, Kitila Mkumbo etc.Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
NB. Mama usimwingize kabisa mzee wa miga mtetea ushoga Lisu