Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

Labda ana maanisha Ni dada yake mloganzira maana zote NI za serikali.
Makumbusho kwa wale jamaa wa vioo vyeusi plate namba hazieleweki za nchi gani.
Haihusiani na yoyote hapo Mkuu. Yenyewe inajitegemea yenyewe kama yenyewe na wala hakuna nyingine. Iko ndani kabisa humo kwa wasiojulikana. Na usitegemee kutibiwa humo kama huusiki. Ila endapo ikatokea umo humo ndani na ukaumwa basi hawatokutupa utapata huduma ikibidi bure kabisa kama huna bima na kama huusiki kabisa maana Afya ya Mtu ndio kila kitu.
 
Zipo nyingine Mara sx 1383 hdd nk.
 
Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena? Sijawahi isikia.

Ipo wapi
Nani mmiliki
Ubora ukoje

Yaani hii hospital itatujazia server mwaka huu. Leo tu imeshafunguliwa NYUZI kibao, kisha marehemu, binti wa Taifa kakomea hapo.

Ndo maana hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…