Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Sasa na taarifa hizi zote sahihi, kwa nini tuko hapa leo? Ni nini kilitokea hadi tukapinda?

Umenikumbusha enzi ambazo dah, next Sunday natinga chachi kwa kweli

Tena ngoja nianze na jumuiya, sitaki tena maisha ya anasa

Hako kawimbo nikikasikia afu nikaunganisha na haka....

Ishara kubwa imeonekana mbinguuuuni
(ambapo), mwanamke aliyevikwa jua
(Pia) Na mwezi chini ya miguu yake,
Na Taji la nyoya kumi na mbili,
Juu ya kichwa chaaaaaakeee....

Huwa napata faraja sana wallah.....

Wakulu xmas imekaribia, na tuimbe sote

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilayaaaaa......
Jina lake Nazaretiiiii.....
Kwa mwanamwali bikira (kwa mwanamwali bikira) Kwa mwanamwali bikiraaaaa.....
Aliyekuwa ameposwa na Yusufu (na Yusufu), wa ukoo wa Daudiiiii.....
Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamuuuuuu....

Akaingia nyumbani kwake akasema...
Salamu Maria umejaa Neema (salamu Maria)
Umebarikiwa kuliko wanawake wote................................................ (Am sorry Kongosho)
Na Yesu mzao wa Tumbo lako amebarikiwa..............

Ah mimi bana, wacha tu nilale sasa

CC: Kaizer (kwa utekelezaji), Fixed Point, Kongosho, mwita ke mwita, ram
Na wakatoliki wote wenye mapenzi mema.

Bwana awee naaaaanyiiiiiiiii.....
Nendeni na amaaaaaniiiiiiii......

Na haka tena...

Mbaaaali kuuleee naaaasikiaa,
Maaalaikaa waaa Mbiiiinguniiiii,
Wakiimba weeeeengi pia,
Wiiimbo huoo juu aaaaanganiiii....

Glooooooo oooooooh ooooooooh ooooooooriaaaaaa
In excelsis deeeeeooooooo ooooooooo
Oooooooo oooooooooh oooooooh oooooooooriaaaaaaa
In exelsis Deeeeeoooooooo

Wachunga tuuuaaambieni
Sababu ya wiiiimboooo huooooo
Mwenye kwimbiwaaaaa ni naaani,
Juuu ya nani siiiifaaa hizooooo

Je hamjuii jaaambo kuuuuu
Laa kuzaliwaaa mwooookoziii
Saabaabuu yaa wiiiimbo huuuu
Niii kumshukuruu mwooookoziiii
Kaizer hakikisha unapiga ile ma kroo baa pale chini kwa kiibodi. Fixed Point sauti ya kwanza, Kongosho ya pili, mwita ke mwita ya tatu..... vyote vilivyobaki niachieni ODM.

CC: Arushaone, Filipo, PakaJimmy
 
Mimi ni mkristo wa dhehebu lingine tofauti na la huyu babu, bt huwezi amini miaka hiyo nilikuwa nimemeza nyimbo zake zote, nilikuwa naziimba bila shida, hata kanda yake tulikuwa nayo home, ni nyimbo nzuri hazitakaa zitokee tena

nilikamatwa kidogo rafiki...
but kusema kweli nazimikia sana nyimbo za huyu Babu. Nimeziimba sana mpaka naziimba bila kitabu, lol!
 
Kwa wale wanaomfahamu mzee huyu yuko pande za ifakara, ni maarufu ndani ya kanisa katoliki hasa kwa kutunga nyimbo nzuri.

Ametunga nyimbo nzuri nyingi sana hasa za Bikira Maria na nyingine nyingi, mzee huyu ni mfano wa kuigwa licha ya umri wake mkubwa na changamoto zinazomkabili bado ameendelea kumtumikia Mungu kupitia uimbaji na utunzi.

Happy birthday kocha mwarabu.
Mungu ambariki sana huyu m'baba na mtumishi wa Mungu kwa kuweka landmark kwenye ulimwengu wa Kanisa Katoliki.
Nyimbo zake kweli ni za hisia sana na sidhani kama kuna mkatoliki ambaye hazijui!

Kinapofika kipindi cha Kwaresima huwa nikisikia wimbo huu hapa chini nakosa uvumilivu, nanyong'onyea sana!
cc: Asprin, Blaki Womani, Filipo, Kaizer, Kongosho mwita ke mwita Lily Flower

WAKUPELEKA HUKUMUNI

Swahili-music-sheet.jpg
 
"wakupeleka hukumuni Yesu, Ili uamuliwe na mtu,,"
7d7cc-Wakupeleka-hukumuni-1_Page_1.jpg
Naam. Maneno mazito sana

7d7cc-Wakupeleka-hukumuni-1_Page_2.jpg cc PakaJimmy nota umeziona?
 
Last edited by a moderator:
Mungu ambariki sana huyu m'baba na mtumishi wa Mungu kwa kuweka landmark kwenye ulimwengu wa Kanisa Katoliki.
Nyimbo zake kweli ni za hisia sana na sidhani kama kuna mkatoliki ambaye hazijui!

Kinapofika kipindi cha Kwaresima huwa nikisikia wimbo huu hapa chini nakosa uvumilivu, nanyong'onyea sana!
cc: Asprin, Blaki Womani, Filipo, Kaizer, Kongosho mwita ke mwita Lily Flower

WAKUPELEKA HUKUMUNI

Swahili-music-sheet.jpg

Huu wimbo nikiusikiliza huwa natafakari sana. nikiusikia na ule

Mateso yako ewe Yesu
Yametokana na dhambi
Yametokana na dhambi zetu sisi
Sisi wanadamu

Ngoja nikaungame asee.
 
"wakupeleka hukumuni Yesu, Ili uamuliwe na mtu,,"
View attachment 124984
Naam. Maneno mazito sana

View attachment 124983cc PakaJimmy nota umeziona?[/QUO. -------- amesema moyoni hakuna Mungu/ wametenda uovu na ufisadi na kuchukiza, Toka Mbinguni Mungu aliwachungulia wanadamu/ aonekane kama yuko mtu mwenye akili
amtafutaye Mungu.
2. Ee Mungu kwa jina lako utuokoe/ na kwa uweza wako unifanyie hukumu, Ee Mungu uyasikie
maombi yangu/ uyasikilize maneno ya kinywa changu.

TE]
 
Afu ongeza na

Asilegeeee moyowe, Asitokweee machozii

Kwa sababu kumpendani, nani mfungwa moyoni
Aliwaaambia basi, nitakaye mbusu ndiye
Mtwaeni na kwa upesi, Yuda nani siye
Kweli Xmass hii isinipite bila kubadilika moyoni

Hako kawimbo nikikasikia afu nikaunganisha na haka....

Ishara kubwa imeonekana mbinguuuuni
(ambapo), mwanamke aliyevikwa jua
(Pia) Na mwezi chini ya miguu yake,
Na Taji la nyoya kumi na mbili,
Juu ya kichwa chaaaaaakeee....

Huwa napata faraja sana wallah.....

Wakulu xmas imekaribia, na tuimbe sote

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilayaaaaa......
Jina lake Nazaretiiiii.....
Kwa mwanamwali bikira (kwa mwanamwali bikira) Kwa mwanamwali bikiraaaaa.....
Aliyekuwa ameposwa na Yusufu (na Yusufu), wa ukoo wa Daudiiiii.....
Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamuuuuuu....

Akaingia nyumbani kwake akasema...
Salamu Maria umejaa Neema (salamu Maria)
Umebarikiwa kuliko wanawake wote................................................ (Am sorry Kongosho)
Na Yesu mzao wa Tumbo lako amebarikiwa..............

Ah mimi bana, wacha tu nilale sasa

CC: Kaizer (kwa utekelezaji), Fixed Point, Kongosho, mwita ke mwita, ram
Na wakatoliki wote wenye mapenzi mema.

Bwana awee naaaaanyiiiiiiiii.....
Nendeni na amaaaaaniiiiiiii......

Na haka tena...

Mbaaaali kuuleee naaaasikiaa,
Maaalaikaa waaa Mbiiiinguniiiii,
Wakiimba weeeeengi pia,
Wiiimbo huoo juu aaaaanganiiii....

Glooooooo oooooooh ooooooooh ooooooooriaaaaaa
In excelsis deeeeeooooooo ooooooooo
Oooooooo oooooooooh oooooooh oooooooooriaaaaaaa
In exelsis Deeeeeoooooooo

Wachunga tuuuaaambieni
Sababu ya wiiiimboooo huooooo
Mwenye kwimbiwaaaaa ni naaani,
Juuu ya nani siiiifaaa hizooooo

Je hamjuii jaaambo kuuuuu
Laa kuzaliwaaa mwooookoziii
Saabaabuu yaa wiiiimbo huuuu
Niii kumshukuruu mwooookoziiii
Kaizer hakikisha unapiga ile ma kroo baa pale chini kwa kiibodi. Fixed Point sauti ya kwanza, Kongosho ya pili, mwita ke mwita ya tatu..... vyote vilivyobaki niachieni ODM.

CC: Arushaone, Filipo, PakaJimmy

Huu wimbo nikiusikiliza huwa natafakari sana. nikiusikia na ule

Mateso yako ewe Yesu
Yametokana na dhambi
Yametokana na dhambi zetu sisi
Sisi wanadamu

Ngoja nikaungame asee.
 
Kwa wale wanaomfahamu mzee huyu yuko pande za ifakara, ni maarufu ndani ya kanisa katoliki hasa kwa kutunga nyimbo nzuri.

Ametunga nyimbo nzuri nyingi sana hasa za Bikira Maria na nyingine nyingi, mzee huyu ni mfano wa kuigwa licha ya umri wake mkubwa na changamoto zinazomkabili bado ameendelea kumtumikia Mungu kupitia uimbaji na utunzi.

Happy birthday kocha mwarabu.

Mzee Mwarabu anastahili pongezi ukisikiliza nyimbo za Bikira Maria alizotunga unapata furaha hadi kujiona upo mbinguni pembeni yake....

"Niongoze vyema Maria mwema bondeni huku niliko nifike kwa usalama mbinguni kwa Yesu mwanao"

Mwenye Mungu amjalie afya njema kila siku.....Hongera kwa kutimiza miaka 70
 
Afu ongeza na

Asilegeeee moyowe, Asitokweee machozii

Kwa sababu kumpendani, nani mfungwa moyoni
Aliwaaambia basi, nitakaye mbusu ndiye
Mtwaeni na kwa upesi, Yuda nani siye
Kweli Xmass hii isinipite bila kubadilika moyoni
Kongosho acha kabisa kipindi cha kwaresma na hizo nyimbo zinabadilisha matendo lakini baada ya hapo mmmhhh

" Uchungu kama upanga (kweli)ukachoma moyo wa mama Maria (Kalvari)
alipomwona mwanae akikata roho pale msalabani"

kipindi cha majilio kumpokea masiha
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
humu ndani mnajua tunaweza anzisha kwaya?
JF kwaya....
naona waimbaji wa kumwaga humu...... yaani ninapokuwa kanisani kama siimbi kwaya najiona kama sijasali. kweli tunaposema "Anayeimba anasali mara mbili"
cc. Asprin, Kaizer, Kongosho, Blaki Womani, PakaJimmy, mwita ke mwita, Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mamndenyi, tedo, ram, Ablessed, karatu boy, na wengine

kweli kabisa hata mie nisipoimba najisikia kama sijaenda kanisani vile.....raha ya ibada kuimba
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mie nikiimba mtakimbia, nna sauti mbaya kuliko hata nyani.

Mie nitakuwa naongoza pale mbele na kafimbo.

humu ndani mnajua tunaweza anzisha kwaya?
JF kwaya....
naona waimbaji wa kumwaga humu...... yaani ninapokuwa kanisani kama siimbi kwaya najiona kama sijasali. kweli tunaposema "Anayeimba anasali mara mbili"
cc. Asprin, Kaizer, Kongosho, Blaki Womani, PakaJimmy, mwita ke mwita, Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mamndenyi, tedo, ram, Ablessed, karatu boy, na wengine
 
Last edited by a moderator:
humu ndani mnajua tunaweza anzisha kwaya?
JF kwaya....
naona waimbaji wa kumwaga humu...... yaani ninapokuwa kanisani kama siimbi kwaya najiona kama sijasali. kweli tunaposema "Anayeimba anasali mara mbili"
cc. Asprin, Kaizer, Kongosho, Blaki Womani, PakaJimmy, mwita ke mwita, Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mamndenyi, tedo, ram, Ablessed, karatu boy, na wengine

Inabidi tuanzishe kwaya humu. nawapendekeza Asprin, PakaJimmy nawe muwe walimu wetu wa kwaya tarajiwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom