Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Haka kawimbo huwa kanapigwa baada ya Kukomnika....Basi kanisa zima lnarindimba kwa sauti mwanana na kinanda safi....

Uwiiii hapo nipo kanisa langu la nyumbani Kilema misa ya usiku..
Lahaulaaaa.....
 
Hako kawimbo nikikasikia afu nikaunganisha na haka....

Ishara kubwa imeonekana mbinguuuuni
(ambapo), mwanamke aliyevikwa jua
(Pia) Na mwezi chini ya miguu yake,
Na Taji la nyoya kumi na mbili,
Juu ya kichwa chaaaaaakeee....

Huwa napata faraja sana wallah.....

Wakulu xmas imekaribia, na tuimbe sote

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilayaaaaa......
Jina lake Nazaretiiiii.....
Kwa mwanamwali bikira (kwa mwanamwali bikira) Kwa mwanamwali bikiraaaaa.....
Aliyekuwa ameposwa na Yusufu (na Yusufu), wa ukoo wa Daudiiiii.....
Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamuuuuuu....

Akaingia nyumbani kwake akasema...
Salamu Maria umejaa Neema (salamu Maria)
Umebarikiwa kuliko wanawake wote................................................ (Am sorry Kongosho)
Na Yesu mzao wa Tumbo lako amebarikiwa..............

Ah mimi bana, wacha tu nilale sasa

CC: Kaizer (kwa utekelezaji), Fixed Point, Kongosho, mwita ke mwita, ram
Na wakatoliki wote wenye mapenzi mema.

Bwana awee naaaaanyiiiiiiiii.....
Nendeni na amaaaaaniiiiiiii......
Ngoja nimkaribishe mwanajumuiya Sky Eclat kwenye hili dimbwi... najua atafurahia akiifuatilia hii thread pendwa.
 
Ngoja nimkaribishe mwanajumuiya Sky Eclat kwenye hili dimbwi... najua atafurahia akiifuatilia hii thread pendwa.
Shukrani babu, na ule mwimbo wa "Sisi wana wa dunia lazima tukumbuke maneno aliyosema mama Maria, alipowatokea watoto wa Fatima, alisema tu sali tusali rosary tupate Amani na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwokozi na wasio mwamini Yesu mwokozi.... Nani aliimba huu babu?
 
Kwaya ya Mtakatifu Cecilia, Parokia ya Mt. Maximilian Kolbe, Mwenge.

Afu hapo red: Pasomeke Mwombezi.
 
Ndugu wanabodi naomba mnifahamishe juu ya huyu babu ajulikanae kwa jina la Mwarabu. Miaka ya sabina na kuendelea kulikuwa na bwana mmoja akijulikana kwa jina la Mwarabu akifanya kazi POLICE SIGNALS je inawezekana ndiye huyu babu? Sura yake inafanana na huyu aliyeonyeshwa kwenye picha!! Nitashukuru kwa ufafanuzi.
 
Inawezekana alikuwaga Polisi zamani sema aliwahi kustaafu lutokana na sabau za kiafya (ninavyosikia)
 
Shukrani babu, na ule mwimbo wa "Sisi wana wa dunia lazima tukumbuke maneno aliyosema mama Maria, alipowatokea watoto wa Fatima, alisema tu sali tusali rosary tupate Amani na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwokozi na wasio mwamini Yesu mwokozi.... Nani aliimba huu babu?
kwaya ya mtakatifu secilia mwenge
 
Mungu ampe maisha marefu na yenye furaha. Nimeimba sana nyimbo zake wakati wa ujana wangu
 
Kama Mkatoliki hili tangazo linanisikitisha sana.Hivi kanisa linashindwa kumsaidia Mtunzi wetu huyu akamaliza salama uzee wake mpaka apitishe bakuli kama hivi.

Jimbo la Ifakara na Askofu Salutarius Libena kwa Ujumla tafadhali mengine kama haya yapo chini ya uwezo wenu mtende mnayoyahubiri Kila siku.

Isitoshe bado Mwarabu anaendeleza huduma yake ndani ya Kabisa hapo Ifakara, Ametumia nguvu nyingi sana na muda kutunga na kufundisha ndani ya kanisa.

CC; Otorong'ong'o LIKUD
 
Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe....
Tunasikia mambo haya ya Mungu, wanayosema, kwa llugha yetu wenyewe....
Wao ni Wagalilaya, nasi ni wa makabila, ya kutoka nchi mbali mbali... (duniani)...
Ina maana gani? linashangaza jambo hilo......

enzi hizo Rev. Sr.......
loool..nimekumbuka mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom