Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Hivi Fixed Point, Kongosho na ram iilikuwaje msiniite kwen sredi hii adhimu?
Hata hivyo asanten kwa Kumbukumbu nzuri
PETER FLORIAN asante kwa picha ya mzee wetu "Kocha" Mwarabu. Natumai hommir wangu Asprin atafurahi sana.
Huyu.ni kati ya wazee wachache sana watunzi walioko hai kwa sasa. Nyimbo zake zina identity ya pekee kama.za.mzee Makoye RIP.
Ntamuwish happy besidei next year Mungu akituweka hai. Sada hivi naona nilichelewa saana.

Last edited by a moderator: