mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,765
Kwa wale wanaomfahamu mzee huyu yuko pande za ifakara, ni maarufu ndani ya kanisa katoliki hasa kwa kutunga nyimbo nzuri.
Ametunga nyimbo nzuri nyingi sana hasa za Bikira Maria na nyingine nyingi, mzee huyu ni mfano wa kuigwa licha ya umri wake mkubwa na changamoto zinazomkabili bado ameendelea kumtumikia Mungu kupitia uimbaji na utunzi.
Happy birthday kocha mwarabu.