Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

Na haka tena...

Mbaaaali kuuleee naaaasikiaa,
Maaalaikaa waaa Mbiiiinguniiiii,
Wakiimba weeeeengi pia,
Wiiimbo huoo juu aaaaanganiiii....

Glooooooo oooooooh ooooooooh ooooooooriaaaaaa
In excelsis deeeeeooooooo ooooooooo
Oooooooo oooooooooh oooooooh oooooooooriaaaaaaa
In exelsis Deeeeeoooooooo

Wachunga tuuuaaambieni
Sababu ya wiiiimboooo huooooo
Mwenye kwimbiwaaaaa ni naaani,
Juuu ya nani siiiifaaa hizooooo

Je hamjuii jaaambo kuuuuu
Laa kuzaliwaaa mwooookoziii
Saabaabuu yaa wiiiimbo huuuu
Niii kumshukuruu mwooookoziiii
Kaizer hakikisha unapiga ile ma kroo baa pale chini kwa kiibodi. Fixed Point sauti ya kwanza, Kongosho ya pili, mwita ke mwita ya tatu..... vyote vilivyobaki niachieni ODM.

CC: Arushaone, Filipo, PakaJimmy

ODM JF kuna raha zake mkuu. Afu kumbuka nakudai.
 
Last edited by a moderator:
Mie ntawapigia gitaa.
Umemtaja back up singer wangu snowhite?
ha haaaa, mdogo wangu huyo ataimba sauti ya saba..... tutaianzisha kwa ajili yake.
Au atakuwa kwenye kitengo maalumu cha kusoma masomo, au kama siku maombi hayaimbwi na mwongozaji.
 
Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe....
Tunasikia mambo haya ya Mungu, wanayosema, kwa llugha yetu wenyewe....
Wao ni Wagalilaya, nasi ni wa makabila, ya kutoka nchi mbali mbali... (duniani)...
Ina maana gani? linashangaza jambo hilo......


enzi hizo Rev. Sr.......

daaaah huu wimbo kama unao nitumie kwa whatsapp
 
Arushaone, Asprin, Kongosho, BLAckwoman, Fixed point, kaizer, pakajimmy, mamdenyi, karatuboy, Ablessed,Lilyflower, mwaweza ni PM email zenu niwatumie nyimbo za Noeli via Dropbox, ila inabidi muwe na bundle za kutosha kudownload
 
huyu baba ni profesa wa muzki au? maana nyimbo zake zimeenda shule kisawasawa, nawakumbuka pia akina F. Nyundo, J. Makoye, G. F. Kayetta na wengine wengi sijui wapo wapi kwa sasa. kwa mwenye kuhitaji nyimbo zao awasiliane na mimi nina library nzima.

Duh mkuu bahati mbaya hao wote uliowataja wametangulia Mbele ya Haki (i hope unajua) Hapo hujamtaja J. Mgandu (RIP) pia.
 
huyu baba ni profesa wa muzki au? maana nyimbo zake zimeenda shule kisawasawa, nawakumbuka pia akina F. Nyundo, J. Makoye, G. F. Kayetta na wengine wengi sijui wapo wapi kwa sasa. kwa mwenye kuhitaji nyimbo zao awasiliane na mimi nina library nzima.
Mkuu,
Umenitoa machozi sana baada ya kunikumbusha marehemu Fr G.H.Kayetta, ambaye alikuwa na heshima ya pekee ya kuwa mmoja wa mapadre wa kwanza kabisa wa Kizalendo hususan wa kabila la Kisafwa huko Mbeya tangu ujio wa wageni Wakoloni.
Hakika watu hawa walikuwa dedicated sana kuweka misingi ya kudumu ya kanisa.
Enzi hizo hawakutunga kwa mtazamo wa kibiashara.

c.c pmwasyoke
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Baba Heri, naomba pia nifanye ombi rasmi kwako la kupata nyimbo za Wakongwe hawa.
NAOMBA unijuze utanitumia kwa njia gani. Hakika nitafarijika sana na baraka zingine zitarudi kwako.
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema, kwa lugha yetu wenyewe....
Tunasikia mambo haya ya Mungu, wanayosema, kwa llugha yetu wenyewe....
Wao ni Wagalilaya, nasi ni wa makabila, ya kutoka nchi mbali mbali... (duniani)...
Ina maana gani? linashangaza jambo hilo......


enzi hizo Rev. Sr.......


Mtunzi wa wimbo E Nafsi Yangu ulioimbwa na St Maurus Kurasini Mzee Mgandu akipiga Kinanda.
 
PakaJimmy nimekutumia e mail fungua inbox yako ( e mail) namba yangu ni +255752220649
 
Jamani wadau wenzangu wapenzi wa nyimbo za watunzi hawa wakongwe kama Fr. D. Ntapambata, B. Byabato, F. Kashumba, B. Msike, J. Nkomago, Fr. S. Mutajwaha, J. Mgandu wasilianeni na mimi kwa namba +255752220649 tuwekeane utaratibu wa kurushiana nyimbo hizi ila mtachangia gharama kidogo maana mimi nimezinunua nairobi ghali sana na zina copyright ya Daughters of St. Pauline.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom